Picha ya mbwa shujaa aliyefanikisha kuuawa kwa gaidi namba 1 duniani Al Baghdadi yawekwa hadharani

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Jul 31, 2017
1,606
1,956
Wadau.

Rais Trump ametoa hadharani picha ya mbwa Shujaa aliyefanikisha operesheni ya Kijeshi iliyopelekea kifo cha aibu cha Gaidi Namba moja Duniani.
Jina la Mbwa huyo hatari sana hata hivyo bado litabaki kuwa Siri.
FB_IMG_15723182620376188.jpg
Screenshot_20191029-060638.png
 
Kinyago wamekitengeza wenyewe kikaanza kuwatisha wenyewe.

Mambo yamekuwa magumu. Assad amekuwa SIMBA kiukweli lazima US watafute njia ya kutokea.

Huku ni kama kujitekenya wenyewe mkajichekesha wenyewe.

Nani asiyefahamu kuwa IS ni kinyago kilichotengenezwa na US?...

Habari yako Faizafoxy? Ninapenda kusoma comments zako.
 
Kinyago wamekitengeza wenyewe kikaanza kuwatisha wenyewe.

Mambo yamekuwa magumu. Assad amekuwa SIMBA kiukweli lazima US watafute njia ya kutokea.

Huku ni kama kujitekenya wenyewe mkajichekesha wenyewe.

Nani asiyefahamu kuwa IS ni kinyago kilichotengenezwa na US?...

Assad hana chochote, kapata bwana mpya (Russia) ndie anampa kiburi cha kutanua mjini.
 
Huyo jamaa alibaki kama symbolic leader wa hilo kundi, kuna watendaji haswa ambao ndio wanaendeaha kundi ISIS bado ipo
 
Back
Top Bottom