Langa kaumwa kwa muda mwingi kiasi kwamba kufa kwake si kwa kushtukiza saaana. Ni yale yale Madawa ya kulevya yanazidi kuwaondoa duniani vijana wabichi kama Langa....R.I.P Langa
Kufa tutakufa wote hakun atakaye baki, lakinikufa kwingine tunajitakia wenyewe.
Huyu si ndiye yule alitopea kwenye matumizi ya bimbwi akaponea chupuchupu hivi karibuni, halafu akaingia kwenye uelimishaji kuhusu madhara ya bwimbwi? Umaarufu bila hekima ya Mungu ni kuelekea upotevuni tu.
Mungu anajua pa kumuweka sisi tukisema tutakuwa tunamfanya yeye hajui pa kuweka mavuno yake.
Clouds FM na Nyani Ngabu hebu njooni pande hii kuna msiba mwingine ambao tunaweza kuutumia kusafishia nyota yetu ambayo Team Anaconda wameichafua na kuipoteza kabisa.
Maana hata ticket za Mwana Fa tumeshindwa kabisa kuuza, dah... ulimwengu mgumu sana huu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.