Picha ya marehemu mwanamziki langa aliyefariki hivi punde leo hii

Brother James

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
233
172
Huyu ndiye marehemu langa mzee wa hip hop.......r.i.p bro
 

Attachments

  • LANGA.jpg
    LANGA.jpg
    105.3 KB · Views: 1,022
Du, vifo vimekuwa vingi jamani, hata watoto wanakuwa wanakufa hivi! Nadhani huyu ni msanii wa tatu kufa mwezi huu.
 
Langa kaumwa kwa muda mwingi kiasi kwamba kufa kwake si kwa kushtukiza saaana. Ni yale yale Madawa ya kulevya yanazidi kuwaondoa duniani vijana wabichi kama Langa....R.I.P Langa
 
Aliyekufa leo sio atakayekufa tena. Ni sisi tuliobaki ndio tutafuata nyao zao.
Umemaliza kazi yako duniani Langa, Pumzika kwa amani BROTHER..
 
Kufa tutakufa wote hakun atakaye baki, lakinikufa kwingine tunajitakia wenyewe.

Huyu si ndiye yule alitopea kwenye matumizi ya bimbwi akaponea chupuchupu hivi karibuni, halafu akaingia kwenye uelimishaji kuhusu madhara ya bwimbwi? Umaarufu bila hekima ya Mungu ni kuelekea upotevuni tu.

Mungu anajua pa kumuweka sisi tukisema tutakuwa tunamfanya yeye hajui pa kuweka mavuno yake.
 
Clouds FM na Nyani Ngabu hebu njooni pande hii kuna msiba mwingine ambao tunaweza kuutumia kusafishia nyota yetu ambayo Team Anaconda wameichafua na kuipoteza kabisa.
Maana hata ticket za Mwana Fa tumeshindwa kabisa kuuza, dah... ulimwengu mgumu sana huu
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom