Picha ya Marehemu Benjamin Mkapa enzi zake akiwa secondary

Alex Fredrick

JF-Expert Member
Jun 21, 2016
679
1,337
#TBT
Benjamin Mkapa (kulia) na rafiki yake, Philip Magani (Mkurugenzi wa kwanza Mwafrika wa Benki ya CRDB), wakati wakiwa wanafunzi Sekondari ya Abbey, Ndanda.
#RIPMZEEMKAPA
FB_IMG_1596198164705.jpeg
 
Halafu wanaume tunakuaga na miili yetu mizuri ujanani(Pre 30yrs) ila vichenji vikishaanza kunoga tu tunajiachiaaa vitambi na mamwili kufumuka sijui kwanini yani??

Hail to all who maintain
Hata wanawake
 
Halafu wanaume tunakuaga na miili yetu mizuri ujanani(Pre 30yrs) ila vichenji vikishaanza kunoga tu tunajiachiaaa vitambi na mamwili kufumuka sijui kwanini yani??

Hail to all who maintain
Kwa hiyo na wewe ni bonge
 
Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom