englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,253
- 6,207
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo inatwa yanini taabu na raha ipo.
Nimependa wanja. MashaAllah
Wanja na piko tofauti vileee?
Sisi wa zamani terminology ya "piko" (peacock) haituingii akilini.
Kwaio ni terminology tu au ni tofauti?
Ni tofauti. Lakini sisi tumezoea kuuita wote wanja tu.
Hiyo inatwa yanini taabu na raha ipo.
Unamaanisha kuwa huyo mtoto anaenda kutupwa jalalani ili mama aendelee kula raha?
Unamaanisha kuwa huyo mtoto anaenda kutupwa jalalani ili mama aendelee kula raha?