Picha ya leo

Mr muhuni

JF-Expert Member
May 26, 2014
1,287
1,256
nimefrah sana nhivi ni kweli au hebu nisaidieni wakuu

umegundua nini kwenye hii picha

IMG_20170103_203125.png
 
Hahaahah wale wateja wangu wa Magari huwa wanapenda sana Namba D, Hahahaha au namba mpya!!!!
 
Kina 50 cent wanapigia picha kwenye ma cadillac,ma range rover,sijui ferrari, ma bugatti, kwa nini mshikaji asipigie kwenye lori lqke. Maisha ndio hayq acheni aishi kitajiri.
 
Tusishangae namba D na gari imechoka inawezekana route anazoenda si nzuri hasa barabara za vumbi
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom