Picha ya Leo: Tunaomba ufafanuzi kwa wanaojua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha ya Leo: Tunaomba ufafanuzi kwa wanaojua

Discussion in 'Jamii Photos' started by Candid Scope, Jul 18, 2012.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  Hii kitu ni nini? Wanaojua watuhabarishe, maana kitu kigeni, au ni mzinga wa nyuki mamboleo?

  [​IMG]

  Hapa wanasafirisha product zake

  [​IMG]

  Product baada ya kuwafikia wateja wanashirikishana.
   
 2. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2012
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,231
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  hahahaha...! yani umenikumbusha mbaaaaaaaaali...! WALE WA TOSA MPOOO..!
   
 3. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #3
  Jul 18, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Hahahahaaa!!!
  Mndaya sida! Bee!
   
 4. Mama Mdogo

  Mama Mdogo JF-Expert Member

  #4
  Jul 18, 2012
  Joined: Nov 21, 2007
  Messages: 2,865
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  Huo ni ulanzi: kuna Mtogwa (sweet), Mdindifu (mild) na Mkangafu (strong)
   
 5. P

  PUNJE JF-Expert Member

  #5
  Jul 18, 2012
  Joined: Jul 30, 2008
  Messages: 334
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  ...duu, hiyo ya kwanza nimeiweka ktk desktop kama background. SAFIIII SANAA!!
   
 6. Mwanahisa

  Mwanahisa JF-Expert Member

  #6
  Jul 18, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 1,397
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Wewe ni mkemia mkuu wa kiwanda gani? Duh!
   
 7. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #7
  Jul 18, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Umesahau Pingu
   
 8. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #8
  Jul 18, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hahahaaaaa Kamwene mpo???????
  Dah kitu Maketeeeeeeeee Lupila moja mwanangu duh
   
 9. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #9
  Jul 18, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Beeh! Ndauli mwagito!! Kakaa nyee!
   
 10. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #10
  Jul 18, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 1,116
  Trophy Points: 280
  Mimi nipo mkuu. Naona kitu cha Ipamba hicho.
  Call your enemy what exact you are, and always tell the opposite of the truth.
   
 11. KANDA MBILI

  KANDA MBILI Member

  #11
  Jul 18, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 56
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 25
  kuna mitaa inanitwa kihesa njia panda ya kwenda mtwivila...lazima nistue kila asubyhu kabla sijaingia JOB kumjengea kikwete taifa lake.......
   
 12. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #12
  Jul 18, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mmmmmhhh hapa kina ndauli ulimnofu ela naona mimate mbwinjombwinjo...
   
 13. M

  Mmwaminifu JF-Expert Member

  #13
  Jul 18, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 1,096
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Nyee! Udesi.
   
 14. Fekifeki

  Fekifeki JF-Expert Member

  #14
  Jul 18, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 1,163
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Hicho cha kukingia kinaitwa MBETA! Wazee wa Makete mpoooooo?!!!!!
   
 15. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #15
  Jul 18, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,320
  Likes Received: 1,785
  Trophy Points: 280
  I had the same thought Mama Mdogo...nilijua ni majirani wanaendeleza mila...duuh long time me forget ulanzi
   
 16. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #16
  Jul 18, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Hiyo kitu murua sana, tena huna haja ya kuweka kwenye friji ukitoka kwenye kitindi utakuta wa bariiiiiiiiiiiiiidi halafu uwe ndo mtogwa aisee mnanikumbusha Indiuka, Ipogoro, kibwabwa, kitwilu, mseke, Njia panda ya tosa mpaka Tanangozi yaani palikuwa uwanja wa home, piga Vijombelo vya nguvu, magoti tu yanaisha nguvu km GOUTS hahahahaha IRINGA pazuri jamani watani mpoo, msitulishe tu mishkaki ya dogi
   
 17. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #17
  Jul 18, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,811
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hiyo ni smart bear,
   
 18. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #18
  Jul 19, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Nashukuru kunihabarisha, maana hiyo pic ya kwanza ndo mpya ya mwaka kwangu. Na mpiga picha alijitahidi kupata taswira ya kweli. Kumbe mle ndani kwenye ile kitu kirefu kuna ulanzi (bamboo juice). Lakini naona walikosea kuiita bamboo juice kwa vile inalewesha kama mdau aliposema ukiifakamia kikweli utakuta magoti yanagongana, maana yake ni alcohol.
   
 19. Gwangambo

  Gwangambo JF-Expert Member

  #19
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 3,655
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Khaaa! Udesi wa kwiya? Ndee muyao ndisogwe ku kihesa kutegula ludodo. Kalagabao!:israel:
   
 20. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #20
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  naona leo mmekutanishwa. One nandemuli,ndikhevujila khonyumba.
   
Loading...