Picha ya leo - Mbowe mapumziko mafupi yamemrutubisha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha ya leo - Mbowe mapumziko mafupi yamemrutubisha

Discussion in 'Jamii Photos' started by Candid Scope, Sep 2, 2012.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Sep 2, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  Huyu kushoto ndiye mbowe ambaye yuko nchini Marekani sasa hivi.
   
 2. Kanyapini

  Kanyapini JF-Expert Member

  #2
  Sep 2, 2012
  Joined: Jul 25, 2012
  Messages: 299
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kamanda yuko fit.
   
 3. Ben Mugashe

  Ben Mugashe Verified User

  #3
  Sep 2, 2012
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 939
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Mama hy nimependa mkanda wake, tazameni vizuri rangi zake
   
 4. mhalisi

  mhalisi JF-Expert Member

  #4
  Sep 2, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,181
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  kamanda yuko smart sana kwa vitu vingi.
  pongezi kwake.
   
 5. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #5
  Sep 2, 2012
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Miwani Hiyo Huwa ni ya nini....!! Mbona Sioni Kama Kuna Jua la Kuvaa Miwani Hiyo
   
 6. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #6
  Sep 2, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Kuna jamaa alisha niambia kuwa "kamanda mbowe ni mtu wa mazoezi sana, huwa napiga push up 200 kila asubuhi kabla ya kuingia kwenye mazoezi mengine ya vioungo" kwa huo mwili nakubaliana nae!

  Sent from BlackBerry 8520 authorized by JamiiForums
   
 7. j

  john hotsam da1 JF-Expert Member

  #7
  Sep 2, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 403
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  ...............
   
 8. m

  markj JF-Expert Member

  #8
  Sep 2, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  mnaanza kumpa uhandsome na huyu mapemaa, hatujakoma tu! haya yangu macho, kuna mmoja tulianzaga kumtupia masifa yakuwa smart na u hb, matokeo yake tunayaona, sasa haya! all in all hii ni picha tu wakuu na hapo ni usa sio bongo, hata wewe ukienda ukapiga picha na kusafiswa huko na editing ni sana tu utang'aaa, na ukikaa kidogo mbele lazma utaboreka kiafya mana kuna ruhusu kule na sio vumbi la bongo, yani hata wassira au komba akienda huko yani atakuwa kama rick ross vile aiseee! hahaha. all in all huyo madam mweupe kapendeza sana embu mkagueni vizuri mtagundua kitu
   
 9. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #9
  Sep 2, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Hahaaaaaa..mazoezi ya viungo
   
 10. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #10
  Sep 2, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kakudanganya!
   
 11. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #11
  Sep 2, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,561
  Trophy Points: 280
  Ww kwako kuna jema kwa mtu wa cdm
   
 12. N

  Nzagamba Yapi Senior Member

  #12
  Sep 2, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 168
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kamanda mbowe anamakengeza so miwani ni muhimu ili asitishie watoto

  Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
   
 13. Highlander

  Highlander JF-Expert Member

  #13
  Sep 2, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 3,094
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Oyaa...Candid Scope. Na huyo wa pili kutoka kwa Mbowe ni nani? Samahani lakini sina nia mbaya kiivyo yaani...just curious!

   
 14. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #14
  Sep 2, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,120
  Likes Received: 10,469
  Trophy Points: 280
  Kamanda yupo kikakamavu sana.
   
 15. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #15
  Sep 2, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Tutamwuliza atakapokuja kuwakilisha jumuiya ya Watanzania waishio Marekani kwenye vikao vya Chadema.
   
 16. mchumia tumbo

  mchumia tumbo JF-Expert Member

  #16
  Sep 2, 2012
  Joined: Jun 19, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  Isije akawa anakuta na wale wafadhili anaowasema Nape
   
 17. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #17
  Sep 2, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Wafadhili ni hao aliosimama nao.
   
 18. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #18
  Sep 2, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Huyo mama mwenye kitambi aliyevaa gwanda ni nani.
   
 19. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #19
  Sep 2, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Mbona Mbowe hakiwa Tanzania kila siku anavaa magwanda naona Marekani kaogopa FBI.
   
 20. M

  MWAKOLO JF-Expert Member

  #20
  Sep 2, 2012
  Joined: Aug 18, 2012
  Messages: 305
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kakimbia kuesabiwa nn?
   
Loading...