Picha ya Le-Mutuz na watoto wa vigogo na mastaa wa kibongo, chezea nini wewe

Huyo jamaa wa nyuma yao mwenye koti jeusi mbona ameyakomalia makalio ya R1?



Kwani we hujuwi kushikishana ukuta/mnazi hapa bongo ni fasheni siku hizi? Utakuta jibaba shupavu kweli kweli na smart ile mbaya ila siku ya siku naye anakula koni na kushikishwa ukuta/mnazi. Bongo hii!
 
Le Mutuz Mutu ya Kilo! Jamaa anapozi nyie acheni tu!
annie.jpg

Hahahah! Mkuu hapa umetisha! Jicho ndembwendembwe... Loh! Loh! Loh!
 
Back
Top Bottom