Picha ya Le-Mutuz na watoto wa vigogo na mastaa wa kibongo, chezea nini wewe

Le Mutuz hapa ulikula Kungu nini??
william+john+086.JPG
Totoz kama hii usipoipunguzia taa za mbele inaweza kuingia chocho.
 
Nimesikia wataalamu wakisema kwamba ukubwa au upana wa lips unashabihiana mno na ukubwa/upana wa kiungo fulani katika mwili wa mwanamke kinachohusika na ustawi wa jamii, sasa kama hivyo ni kweli je huyu dada mwenye upara wa upande wa kushoto kwa Sinta atakuwaje jameni? Tusaidiane ili nipate kujua ukweli wenyewe...
Mkuu umewaza mbali sana, hilo ni tabasamu tu.
Kama ni kweli basi kwa Sinta ipo poa.
 
Mwenyewe anaona amependezaa...
Jitu leusi tiii halafu bado anaweka tinted... :nono:
Tena limeshikiria makorokoro yote ya nini mkononi?
Huu ni ushamba tu; watu siku hizi wanatumia vitu SMART vina combination ya kila kitu!

Acha kauli za kashfa ndugu yangu. Huyo ni mtu sio jitu.
 
Dah huyo dada upande wa kulia utafikiri kachinja kuku kwa mdomo na ilo para ndio kakosea kabisa anaonekana kama bucha la nyama
 
Back
Top Bottom