Picha ya Le-Mutuz na watoto wa vigogo na mastaa wa kibongo, chezea nini wewe

Mwenyewe anaona amependezaa...
Jitu leusi tiii halafu bado anaweka tinted... :nono:
Tena limeshikiria makorokoro yote ya nini mkononi?
Huu ni ushamba tu; watu siku hizi wanatumia vitu SMART vina combination ya kila kitu!


sasa cha kumtukania mwenzio nin?kaumbwa hivyo!she is beautiful with her black colour!
 


atakuwa mlinzi wa RIZ1

kabisa njiwa hata mimi,nilipomwona nikahisi hivyo Riz1 hawezi kwenda sehemu kama hizo bila mlinzi na hilo koti ni kiashiria tosha. wengine nadhani hawajatokelezea kwen picha
 
Last edited by a moderator:
MG_9220.jpg
bado miaka 2 tu. Mtajutia ubaya wenu.
 
Back
Top Bottom