Picha ya kuogofya, mwanaCCM akisubiri Treni ya Umeme

imhotep

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
46,678
71,030
17b892a2bf7fd0ec1b358e61e622c4ad.jpg
 
Kifikia mwaka 2000 kila mtanzania maji ya bomba nyumbani kwake- ilani ya chama cha mapinduzi. Hadi leo hii zaidi ya nusu ya watanzania wanategemea vyanzo vya maji visivyo salama. CCM oyee.
 
Tutakuwa tumeshaaga dunia
Kwa sababu tulikuwa tukiisubiri ghafla tukahamishiwa kwenye yale mataruma ya mjerumani ya kwenda Moshi

Sijui safari hii watakuja na story gani tena labda ile ya Singida Manyoni
 
jvoul.jpg

Hatimae kila Mtanzania anagundua kuwa kile kilikuwa ni choo cha wasichana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom