Companero Platinum Member Jul 12, 2008 5,604 1,704 Dec 11, 2010 Thread starter #3 Gurudumu said: Vipi, mambo ya Photoshop? Click to expand... Inawezekana, tusubiri wataalamu watujuze!
Gurudumu said: Vipi, mambo ya Photoshop? Click to expand... Inawezekana, tusubiri wataalamu watujuze!
Companero Platinum Member Jul 12, 2008 5,604 1,704 Dec 11, 2010 Thread starter #5 Kevin Ambrose said: Kilichokuvutia ni nini? Click to expand... ujana, uchangamfu na udugu wa utanzania
Kevin Ambrose said: Kilichokuvutia ni nini? Click to expand... ujana, uchangamfu na udugu wa utanzania
Rev. Kishoka JF-Expert Member Mar 7, 2006 4,526 1,529 Dec 11, 2010 #6 Interesting, mwaka gani hii, Kikwete, Rostam, Lowassa, Kinana na hao wazee hapo mbele sijaweza watambua!
Interesting, mwaka gani hii, Kikwete, Rostam, Lowassa, Kinana na hao wazee hapo mbele sijaweza watambua!
Lambardi JF-Expert Member Feb 7, 2008 16,494 17,370 Dec 11, 2010 #7 Dream team inayoongoza nchi....ndio maana EL anasema hawajakutana barabarani.......
Questt JF-Expert Member Oct 8, 2009 3,010 422 Dec 11, 2010 #8 So this move started long time ago huh??? So is what happening ryt now was their move?????????
N Ndinani JF-Expert Member Aug 29, 2010 6,938 3,825 Dec 11, 2010 #9 Rev. Kishoka said: Interesting, mwaka gani hii, Kikwete, Rostam, Lowassa, Kinana na hao wazee hapo mbele sijaweza watambua! Click to expand... Huyu mzee wa mwisho kulia nadhani ni marehemu Abdalla Natepe, hao wengine sijawatambua.
Rev. Kishoka said: Interesting, mwaka gani hii, Kikwete, Rostam, Lowassa, Kinana na hao wazee hapo mbele sijaweza watambua! Click to expand... Huyu mzee wa mwisho kulia nadhani ni marehemu Abdalla Natepe, hao wengine sijawatambua.
PakaJimmy JF-Expert Member Apr 29, 2009 16,203 8,724 Dec 11, 2010 #10 Au ndo juzi walipokuwa Lakairo pale MZA, wakiandaa mchakato wa uchakachuaji!...ha ha hahaaaa!
M Maamuma JF-Expert Member Dec 22, 2008 848 303 Dec 11, 2010 #11 Nchi ina mambo hii! Saa ingine najuta hata kuyajua, mana yananitia uchungu sana. Na umaskini umenikamata, kuhama siwezi! Mungu nisaidie.
Nchi ina mambo hii! Saa ingine najuta hata kuyajua, mana yananitia uchungu sana. Na umaskini umenikamata, kuhama siwezi! Mungu nisaidie.