Picha ya Kisiasa Iliyonivutia Sana Leo!

Companero

Platinum Member
Jul 12, 2008
5,604
1,704
IMG_5035.JPG

 
Interesting, mwaka gani hii, Kikwete, Rostam, Lowassa, Kinana na hao wazee hapo mbele sijaweza watambua!
 
Dream team inayoongoza nchi....ndio maana EL anasema hawajakutana barabarani.......
 
So this move started long time ago huh??? So is what happening ryt now was their move?????????
 
Au ndo juzi walipokuwa Lakairo pale MZA, wakiandaa mchakato wa uchakachuaji!...ha ha hahaaaa!
 
Nchi ina mambo hii! Saa ingine najuta hata kuyajua, mana yananitia uchungu sana. Na umaskini umenikamata, kuhama siwezi! Mungu nisaidie.
 
Back
Top Bottom