Picha ya kikwete yazua balaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha ya kikwete yazua balaa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Somoche, Feb 1, 2011.

 1. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #1
  Feb 1, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,823
  Likes Received: 922
  Trophy Points: 280
  Wakuu taarifa za uhakika ni kwamba tangu wiki iliyopita watu kadhaa wametiwa mbaroni katika idara za serikali na watu binafsi kwa kosa la kusambaza picha inayoonyesha kiwilili cha kike lakini kichwa ikiwa na sura ya Rais kikwete.

  Naishangaa serikali inatumia nguvu nyingi sana hapa kwenye mitandao kwa hawa jamaa wa usalama lakini hawawezi kumkamata fisadi Vithlani ama waseme Dowans ni nani hasa!!
   
 2. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2011
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,231
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  maumivu ya kichwa huanza pooole pole...! INANIKUMBUSHA ILE PICHA YA ZEUTAMU..!
   
 3. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #3
  Feb 1, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  hayo ndo yale mambo ya kununua magazeti yoye ya siku..eti habari isiwafikie wasomaji wakati kumbe hadi habari imeenda kuchapishwa ilianzia kwa wasomaji
   
 4. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #4
  Feb 1, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,823
  Likes Received: 922
  Trophy Points: 280
  Nchi ina shida sana mambo ya ovyo wanayatolea macho sana, mbona hawamkamati Rostama ama Chenge?!!
   
 5. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #5
  Feb 1, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,528
  Likes Received: 415,012
  Trophy Points: 280
  PHP:
  Wakuu taarifa za uhakika ni kwamba tangu wiki iliyopita watu kadhaa wametiwa mbaroni katika idara za serikali na watu binafsi kwa kosa la kusambaza picha inayoonyesha kiwilili cha kike lakini kichwa ikiwa na sura ya Rais kikwete.
   
  Naishangaa serikali inatumia nguvu nyingi sana hapa kwenye mitandao kwa hawa jamaa wa usalama lakini hawawezi kumkamata fisadi Vithlani ama waseme Dowans ni nani hasa!!
  Unelitumbandikia hiyo picha ingelipendeza zaidi...............................

  hata hivyo JK asilalame kwa sabau Sheikh yahya yule manjimu wa mapepo alitupasha ya kuwa Raisi atakayekuja wa awamu ya nne atakuwa na nyota ya kike ...........................sasa wanababaika na nini?

  Labda wamkamate Sheikh Yahya kwanza halafu wengineo wafuate..............................
   
 6. M

  MsandoAlberto JF-Expert Member

  #6
  Feb 1, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,019
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ruta? Ruta? Shauri yako wee! Ngoja Sheikh Yahya akupe kitu na box uachane na suruali uanzane na misuli. Si unajua jamaa siku hizi ikulu kwa sana anatoa ushauri kuhusu mustakabali wa nchi kwa mujibu wa nyota!
   
 7. Shomoro

  Shomoro Senior Member

  #7
  Feb 1, 2011
  Joined: Aug 22, 2010
  Messages: 111
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ja!
   
 8. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #8
  Feb 1, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,446
  Likes Received: 5,833
  Trophy Points: 280
  Hiyo picha ilishaletwa hapa kitambo
   
 9. RealMan

  RealMan JF-Expert Member

  #9
  Feb 1, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 2,352
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Wanasema duniani wawili wawili, hiyo picha zio lazima iwe ni Jk.

  Kwani yeye ana jinsia ya kike?? Kama hana jinsia ya kike why worry???

  Na wanatenga fungu kwa ajili ya task force kufuatilia ripicha ambaro ra mtandaoni!1
   
 10. makandokando

  makandokando JF-Expert Member

  #10
  Feb 1, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 300
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hata mi nimeiona hiyo picha, ila naona wadau waogopa kuiattach hapa....maana stori nyingine zenye picha zinakujaga na attachments...hii naona kushnehe....wana usalama wanatisha kumbe.
   
 11. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #11
  Feb 1, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  na domo lako hilo ukiumwa kichwa unakufa
   
 12. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #12
  Feb 1, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
 13. n

  ngoko JF-Expert Member

  #13
  Feb 1, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 574
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wanadai hayo tunayoyaona ya ovyo yakiachiwa yatawachonganisha viongozi na wananchi.
   
 14. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #14
  Feb 1, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 180
  Ila kapendeza!
   
 15. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #15
  Feb 1, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  ni yeye, that's the work of art na ina maana yake, inabidi wawe wanakaa na kutafakari, kwa nini huyo photographer artist ameamua au kufikiria kutengeneza kazi yake ya sanaa namna hiyo. kuna kazi fulani za sanaa niliwahi kuona msanii alikuwa anapenda aina mbalimbali za mbwa kwa hiyo alichokuwa anafanya anachukua paints za wafalme au zile za watu maarufu wa huko ulaya anakata kichwa na kuweka kichwa cha mbwa juu ya kiwiliwili cha binadamu.

  Kwa hiyo JK atafakari na aone kwa nini msanii ameportray image yake that, way. SI KAZI YA CHAGONJA AU ZOKA KUWAFANYA WANANCHI WAIPENDE SERIKALI.:horn:
   
 16. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #16
  Feb 1, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,119
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Hiyo avatar sio mkuu.
   
 17. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #17
  Feb 1, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Ni upuuzi wa watu weusi tu. Mbona Rais Bush walimchora sana enzi zake, katuni za kila aina lakini hatukusikia watu wamekamatwa. Picha ya kikwete kuwekewa kiwiliwili cha mwanamke kuna tatizo gani. Kwani yeye ni mwanamke? Badala ya kutumia muda kushughulikia matatizo ya nchi mijitu inakula kodi za wananchi kwa kufuatilia mambo yasiyo na msingi. Hiyo picha wangeonyesha na upande wa nyuma tuone na wowowo la huyo nanii....
   
 18. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #18
  Feb 1, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  :clap2:
   
 19. Shomoro

  Shomoro Senior Member

  #19
  Feb 1, 2011
  Joined: Aug 22, 2010
  Messages: 111
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Bwa hahahaha! Umenichekesha sana mkuuu. Ila ja! Hiyo sia avatar tu mkuu. Yeye ukute ni handsome boy. usikonde.
   
 20. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #20
  Feb 1, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,200
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  alivyoshika funguo sasa..........na ki nguo chake.........uso wenye bashasha............na pia viatu.........zid ile cut walk yake ni ya hali ya juu hakika amependeza
   
Loading...