Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,319
- 33,125
Last edited by a moderator:
Nilikuwa nazielewa kwa sababu kaka yangu mwaka huo 1987 alikuwa na mke wa kihindi hapo hapo Dares-Salaam alaikuwa huyo shemji yetu anatufundisha lugha ya kihindi kihindi. neno hili Daku kwa kihindi ni jambazi mtu mkatiliKaka Mzizi tatizo ulikuwa unazielewa? Au ni zile zilizochakachukuliwa Mbagala
Nilikuwa nazielewa kwa sababu kaka yangu mwaka huo 1987 alikuwa na mke wa kihindi hapo hapo Dares-Salaam alaikuwa huyo shemji yetu anatufundisha lugha ya kihindi kihindi. neno hili Daku kwa kihindi ni jambazi mtu mkatili