PICHA YA KIBABE

Chupayamaji

JF-Expert Member
Sep 19, 2017
5,787
13,557
Hamna picha bora kama hiii kama ni Edit basi wametisha.
IMG-20190215-WA0003.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliyefanya pichaduka a.k.a photoshop amemficha mzee wangu aliye upande wa kushoto mwa Gaddafi.
 
Umri wa Mandela, mbona kama upo sawa na wa Tyson!!!!!, ina maana walikuwa umri sawa wakati huo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom