Picha ya Joshua Mulundi, Yule aliyemteka Dr Ulimboka

Hii habari naweza kuilinganisha serikari yetu na tabia ya wanywaji pombe... mwanzoni kabla kinywaji akijakole wanywaji wengi mara nyingi utembelea chooni kwa kujistili kwa kuwa ndio taratibu. Lakini pindi kinywaji kinapokolea mlevi huisi kwamba watu hawamuoni na anaweza kujisaidia mchana kweupeeeeeee!!! Sasa naona KOVA amelewa na ameamua kuchafua hali ya hewa mbele ya umati wa watu... kweli TANZANIA ni Zadi uijuavyo....
 
nimejitahidi sana kutafuta picha au walau history kidogo ya huyo aliyetambulishwa kama Joshua Mulundi raia ya kenya bila mafanikio.

Uki-google hilo jina unakutana na picha za Kova, no one (not even google) seem to have heard or seen the so called Joshua Mulundi before.

anyone with a clue about his past history?

Kwanza kova alishalichakachua hili jina likawa Joshua Mahindi..
 
Huyo ndo msanii Kova, kazi yake kubwa ni kutengeza habari pale inapokosekana.
 
picha ya mtuhumiwa haiwezi onyeshwa kwani , mtuhumiwa anatakiwa abadili badilike kutokana na hali, leo anaweza kuwa mkenya, kesho msomali, keshokutwa msanji, mtondogo anakuwa zuku, hiyo yote inategemeana na upelelezi unavyo endelea na kama wameweza kuwadanganya.
 
Tangu lini Muhalifu, mtekaji na mfanya mauji makubwa kama hayo ikawa rahisi kupata picha zake au imformation zake kamili na za ukweli kirahisi kama mnavyodhani?

sio lazima picha lakini hata jina lake kutajwatajwa huko kwenye google hakuna? jangili la kimataifa?
 
Mnataka picha ya MWANAUSALAMA WA TAIFA ili iweje? muendelée kutuumbua eeh!!?
 
Hii kitu imezichafua sana taasisi zinazoshughulika na usalama wa raia. Bado sielewi kwanini wahusika hawajatoswa.
 
Jambazi nambari one ni kova na chagonja ndio majambazi sugu wanatakiwa kuwajibishwa na nchi hii kuhusu sakata la ulimboka
 
Back
Top Bottom