Picha ya jana imenifanya niwachukie wahariri.

thatha

JF-Expert Member
Apr 29, 2011
15,340
1,566
Nilikuwa mmoja wa watu ninaoamini kwamba wanahabari wanakandamizwa sana na Serekali ya CCM na jeshi la polisi.

Nilikuwa nikiwaunga mkono katika kupigania haki za watz. Lkn kumbe ni watu useless,wanakarupuka na hawapo makini.

Jaana baada ya kuweka picha ya muumini wa kiislam wa Morogoro kuwa tukio limetokea Zanzibar ni umbumbu wa wahahriri hawa.

Kumbe haya ndio wanayofanya?
 
Tanzania Daima ni gazeti la udaku hilo mbona lipo wazi.
 
nilikuwa mmoja wa watu ninaoamini kwamba wanahabari wanakakndamizwa sana na Serekali ya CCM na jeshi la polisi.
Nilikuwa nikiwaunga mkono katika kupigania haki za watz.
Lkn kumbe ni watu useless,wanakarupuka na hawapo makini.
Jaana baada ya kuweka picha ya muumini wa kiislam wa Morogoro kuwa tukio limetokea Zanzibar ni umbumbu wa wahahriri hawa.
Kumbe haya ndio wanayofanya?

Mgawanyo wa Shea ktk Tz Daima ni MBOWE 35% + SHIGONGO 65%. LOL
 
nilikuwa mmoja wa watu ninaoamini kwamba wanahabari wanakakndamizwa sana na Serekali ya CCM na jeshi la polisi.
Nilikuwa nikiwaunga mkono katika kupigania haki za watz.
Lkn kumbe ni watu useless,wanakarupuka na hawapo makini.
Jaana baada ya kuweka picha ya muumini wa kiislam wa Morogoro kuwa tukio limetokea Zanzibar ni umbumbu wa wahahriri hawa.
Kumbe haya ndio wanayofanya?

''' TANZANIA DAIMA ni Gazeti la Mbowe na mlango wake ni CHADEMA km Uhuru CCM; Naona walitaka kuchonganisha kwa picha ya Udini'' inanipa wasiwasi km CDM sio chama cha kidini kutokana na gazeti mama lao
 
Tanzania Daima ni gazeti la udaku hilo mbona lipo wazi.

Hivi ni kweli makanisa yamechomwa? na kama ni kweli watu waliandamana? Kama yote ni kweli kuna haja gani ya kulaumu Tanzania Daima, na siyo Nipashe ambayo nayo ilikuwa na picha ya maandamano.
 
Km tzdaima ni gazet la udaku je uhuru na mzalendo ni mgazet ya aina gani?. Hivi unakumbuka jmapil gazet mzalendo lilikuwa na habari gan?. Huo sio udaku?.
 
nilikuwa mmoja wa watu ninaoamini kwamba wanahabari wanakakndamizwa sana na Serekali ya CCM na jeshi la polisi.
Nilikuwa nikiwaunga mkono katika kupigania haki za watz.
Lkn kumbe ni watu useless,wanakarupuka na hawapo makini.
Jaana baada ya kuweka picha ya muumini wa kiislam wa Morogoro kuwa tukio limetokea Zanzibar ni umbumbu wa wahahriri hawa.
Kumbe haya ndio wanayofanya?

Hivi kwa hali ilivyo sasa Zanzibar, chamuhimu ni kushughulikia matatizo husika kule ama namna yanavyoripotiwa. Tusipotoshe dhana kuu hapa, tuwajibike kwanza kwa matatizo makubwa yaliyopo Zanzibar. Haya ya Kibanda na wengineo hayatatusaidia kwasasa katika kushughulikia matatizo yetu makubwa tuliyoyalealea.
 
Sio Tanzania Daima pekee, hata NIPASHE ilitoa picha hiyo.... Kuweni makini katika uchambuzi wenu, msiingize siasa katika hilo. Uandishi wa gazeti au picha hazina uhusiano wowote na umiliki wa magazeti hayo, Isitoshe Mbowe alikua busy na maandalizi ya jangwani na Mtwara asingeweza kuhusika na uchapishaji au utoaji wa order ya kuweka picha zisizohusika katika magazeti anayoyamiliki!!
 
Hivi ni kweli makanisa yamechomwa? na kama ni kweli watu waliandamana? Kama yote ni kweli kuna haja gani ya kulaumu Tanzania Daima, na siyo Nipashe ambayo nayo ilikuwa na picha ya maandamano.

Hakuna hata mmoja mpaka sasa aliyesema au kuandika kuwa msikiti ulipigwa mabomu na askari kabla ya yote hayo kutokea.
 
mbona hueleweki?? au uko knye ndoto unawaza jf. maliza usingizi then swaki njoo tueleze kero yako

unataka aeleze nini tena ni kwamba katika gazeti la jana Tanzania Daima front Page picha iliyopewa namba mbili ni tukio lilotokea Morogoro last year sasa mtu unajiuliza mhariri na siri gani kuiweka picha hiyo katika vurugu za zanzibar au nani kamtuma kufanya hivyo kwan picha hiyo imeandikiwa kuwa 'Mwandamaji akiwa ameshika kitambaa chenye damu'
 
unataka aeleze nini tena ni kwamba katika gazeti la jana Tanzania Daima front Page picha iliyopewa namba mbili ni tukio lilotokea Morogoro last year sasa mtu unajiuliza mhariri na siri gani kuiweka picha hiyo katika vurugu za zanzibar au nani kamtuma kufanya hivyo kwan picha hiyo imeandikiwa kuwa 'Mwandamaji akiwa ameshika kitambaa chenye damu' SWALI LA KUJIULIZA source ipi aliyoitumia kwan ninavyotambua mimi kila tukio huwa na folder lake
 
wewe umeshasema' kwa unavyotambua wewe' sasa unataka uelewa wako ndio uwe wa mwandishi wa tanzania daima? ebu acha ubwege wa fikra kama wewe unaelewa 1+1= 3 unataka na mwenzio aelewe hivyo? issue hapa ni vurugu na uchomaji moto hayo mambo ya picha ni kinogesho cha habari kama ilivyo matarumbeta kwenye harusi.
 
Mtajitetea sana ila dhambi ya kuchoma MAKANISA haitawaacha salama ,Magazeti ya leo yamesheni picha za huko znz na tv zinatuonesha mlivyo na roho ya ubaguzi,ngugu zetu wamefukuzwa huko,hamna pa kujificha na hii aibu shemu on you mnaoshabikia na mnaofanya fujo na kufukuza wabara!hicho kipande kwenye tz daima ndo mnataka kiwatetee mengine hamyaoni?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom