Picha ya Gereza alilokuwa anatumikia kifungo Don Nalimison na sura yake mpya akitoka gerezani tar.26/6/2020

Safi sana mkuu, namshauri Don Nalimison afute picha ya gereza, atafungwa miezi sita. Deo soma kipengele Section 84 (1) (e) na (f) cha Prison Act 2002 cha hiyo sheria aliyoambatisha mwamba hapo juu
Haelewi huyu
Kuna mambo unaweza kufanya kwa kutafuta umaarufu ukajikuta unarudi jela kulima mashamba ya Serikali kimasihara kabisa
 
Haelewi huyu
Kuna mambo unaweza kufanya kwa kutafuta umaarufu ukajikuta unarudi jela kulima mashamba ya Serikali kimasihara kabisa
Kweli kabisa, na hapo atakuwa hana cha kujitetea na hakuna cha kusema umeonewa
 
Mungu akurejeshee miaka yako iliyoliwa na madumadu, na parare na nzige na tunutu.
Afungue ufahamu wako...
Arejeze kile kibali aliweka ndani yako
Nikikutazama huwa naona mtu mkubwa sana ila mwovu kuna mahali aliwahi.
Mkuu nakusubiri
 
Pole sana Don Nalimison aka MC Masqo kwa Trials and Tribulations that you went through.

Kwa Ushauri naomba Ndugu zake wampeleke mirembe akapatiwe tiba ya afya ya akili,bado naona tatizo lake linaendelea,akipewa tiba atapona na kurudi sawa!!
 
Back
Top Bottom