Picha ya Gereza alilokuwa anatumikia kifungo Don Nalimison na sura yake mpya akitoka gerezani tar.26/6/2020

Mkuu pole sana.

Ville vile hakikisha unafuata taratibu za kisheria kubadili jina la sivyo utakua hatarini kupoteza haki zako.

Tayari ushauri wako nimeshafanyia kazi.
IMG_20200629_193832_081.jpg
 
Chief nalimi sasa ni muda wa kubadilika.
VP kuhusu Dogma takatifu ukiwa huko gerezani ulikamilisha kuiandika?,wadau tunaisubiri Kwa udi na uvumba
 
pole sana mkuu, ila naomba kuuliza wakuu

ivi kama umefanyia kosa mtwara nawe ni mkazi wa huko ukahukumiwa miaka 4 ila adhabu yako ukaimalizia kagera je? wanakupa nauli ya kurudi mtwara ama utajijua ukitoka jera.
Wanakuombea lifti kwenye roli la mkaa
 
Mungu akurejeshee miaka yako iliyoliwa na madumadu, na parare na nzige na tunutu.
Afungue ufahamu wako...
Arejeze kile kibali aliweka ndani yako
Nikikutazama huwa naona mtu mkubwa sana ila mwovu kuna mahali aliwahi.
 
Pole aisee, ndio maisha. Jela hapana mwenyewe hata wenye haki pia baadhi yao wapo jela na waovu wanadunda mtaani. Jiepushe na baadhi mambo yatayofanya wakutie kabatini kwa mara nyingine tena
 
  • Thanks
Reactions: amu
Back
Top Bottom