Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,334
Nami nipo hapa kujua maana niliona kimya ghafla simuoni na sijui kosa gani alifanyaHuyu jamaa alikuwa na kosa gani? Aisee! Anatia huruma.
Pole sana mkuu
Anakumbuka Password?Don Nalimison karibu tena Jf
Deo naona wameenda kukupunguza speed..Karibu tena jamvini..
Password hajaikumbuka au haitaki tena, naona amefungua account mpya.Anakumbuka Password?
Wamejipunguza wenyewe.