Jimbi
JF-Expert Member
- Aug 16, 2010
- 3,951
- 4,264
Dunia tunapita Mkuu, itabaki milele ni milima.Ombi lako limekubaliwa
Dunia tunapita Mkuu, itabaki milele ni milima.Ombi lako limekubaliwa
Hakika kabisa,Hujafa hujaumbika
ungeweka akiba ya maneno mkuu.Kwa kumbukumbu zangu, Maalimu Seif alikua wa kwanza kuingia kwenye siasa na hata kua na nyadhifa kubwa kubwa serikalini kuliko komandoo, binafsi nimemuona kwa mra ya kwanza Maalimu Seif April 1984 na nadhani ndio pia ilikua mara yangu ya kwanza kuiona camera ya video/TV; look at these two people now, Maalimu Seif yu buheri wa afya na komandooo afya yake ni mgogoro; kiburi hakifai, yupo Mungu mbinguni who is the controller of everything; tumuheshimu huyo. Yaani uwe una mamlaka kuliko wengine, uwe fala, uwe na pesa au fukara, kwa Mungu wote ni HALI MOJA tu
Kuwa Rais au mja si neno. Hakuna anayehukumiwa hapa. Ujumbe muhimu katika mada hii tunakumbushwa kuwa wema kwa binadamu wenzetu wakati wote tukitambua ukuu wa Mwenyenzi Mungu, unyonge tuliozaliwa nao (human vulnerability) na uwekezekano wa kubadilikiwa maisha wakati wowote.Inawezekana kabisa hata asingekua rais, Salmin angepitia hichohicho anachopitia sasa, siri ya maisha yetu anayo mwenyezi Mungu
Sisi sote ni binadamu hakuna aliyekamilika maisha yanaweza badilika muda wowote tusihukumu tusije kuhukumiwa, wala tusimpangie Mungu