Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii je?
KITAMBO SANA MKUU HII HAPA.....Kwani ya zanzibar ipo?
Tukikaa na kufikiri kwa kina sijui huyu RAIS wa muungano atakuwa ana kazi gani yaani kwa ufupi JD yake ni ipi?Je atakuwa na AUTHORITY gani?Ni nani atachangia cost za kuiweka serikali hii ya tatu.Je itakuwa na wabunge na mawaziri au inakuwaje?Je,hii kodi yetu itatosha kuendesha safari za RAIS wa Tanganyika na RAIS wa Muungano? Watanzania inapasa tujiulize mara tatu tatu hii ni kwa faida ya MTANZANIA au MWA-SIHASA?
Safari bado ndefu kwani wachakachuaji wamejipanga kwenye bunge maalumu la katiba hii na kwenye kura ya maamuzi. Kazi ngumu bado mbeleni kuipata Tanganyika inayoliliwa na wananchi wake wengi.Katika hali ya kufurahia ujio wa tanganyika mpya iliyo kuwa imepotezwa na ccm,sasa bendera ya tanganyika ipo mitaani kama maandalizi ya hamasa ya kushawishi wananchi wakubali serikali 3
Hiyo ilikuwa inamtambulisha gavana mkuu.
Mkuu, machozi yananilengalenga.Tanganyika mama njoo, watoto wako tulikaa wakiwa muda mrefu. Ni furaha yetu mama kukuona. Watoto wako wengi hapo duniani utatuona wajukuu na vitukuu. Tunakupenda Tanganyika.
Hii ya TANGANYIKA
Na hii ya TANU
Naona watu wanazichanganya sana!
Hii je?
Mungu ibariki Tanganyika,
Wabariki viongozi wake,
Heshima umoja na amani,
...................................
...................................
...................................
.....................................
......................................
Tukikaa na kufikiri kwa kina sijui huyu RAIS wa muungano atakuwa ana kazi gani yaani kwa ufupi JD yake ni ipi?Je atakuwa na AUTHORITY gani?Ni nani atachangia cost za kuiweka serikali hii ya tatu.Je itakuwa na wabunge na mawaziri au inakuwaje?Je,hii kodi yetu itatosha kuendesha safari za RAIS wa Tanganyika na RAIS wa Muungano? Watanzania inapasa tujiulize mara tatu tatu hii ni kwa faida ya MTANZANIA au MWA-SIHASA?
I love this one,It looks so beautiful....It's just awesome!
Mkuu hiyo mbona inachata la freemanson???