Picha ya aliyekuwa waziri wa Fedha Steven Kibona

image.jpeg
 
Mkuu tunaomba Historia yake kidogo, hasa Utendaji wake farsafa zake katika uchumi.

Pia tunaomba tumjue alie pokea wizara baada ya kifo chake.
 
Gilman Rutihinda

Gavana Benk Kuu Tanzania (1989 - 1993). Alipata ajali ya gari asubuhi akitokea kwake, akafa, ikatangazwa ilikuwa ajali ya kawaida. Miezi kadhaa nyuma, yeye na Waziri wake wa Fedha Steven Kibona walimgomea Rais Mwinyi kuchapisha fedha kuziingiza kwenye mzunguko.

Waziri wake wa Fedha, Steven Kibona yeye alisafiri kwenda India, aliporudi akaanza kuumwa na tumbo la kuhara, naye akafariki. Taarifa zikasema alikuwa na ugeni wa vyakula vya kihindi hivyo vilimpa mchafuko wa tumbo hatimaye kupelekea kifo chake.
 
Hawa ''machogo'' kwa kuuza nchi hawa! Na huyu mama wa kambo naye si ajabu akaondoka na mtu ili bandari iende!
 
Back
Top Bottom