Picha ya aliyekuwa waziri wa Fedha Steven Kibona

Mwanyasi

JF-Expert Member
Nov 16, 2010
7,919
7,044
Wakuu kwa yeyote mwenye picha ya/za Steven Kibona aliyewahi kuwa waziri wa fedha enzi za Mwinyi aweke hapa tafadhali!
 
tz1

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
2,122
523
Itakusaidia nini?au mganga wa kienyeji kaiomba hiyo picha
 
mmbangifingi

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
2,839
554
kweli bana wanaotajwa kama heroes kama hawa (Kibona,Rutihinda) RIP,, picha zao ziwekwe kuvuta kumbukumbu sawia!
 
Ndinani

JF-Expert Member
Aug 29, 2010
6,882
3,736
kweli bana wanaotajwa kama heroes kama hawa (Kibona,Rutihinda) RIP,, picha zao ziwekwe kuvuta kumbukumbu sawia!

Hawa jamaa waliuawa kimafia na watu waliokuwa wanatafuta uwaziri wa FEDHA na ugavana wa BENKI KUU. Kundi lao lilifanikiwa na ukitaka kujua tafuta ni wakina nani walifuata kuwa WAZIRI WA FEDHA na gavana wa BENKI KUU baada ya vifo vyao!!!
 
Mwanyasi

JF-Expert Member
Nov 16, 2010
7,919
7,044
kweli bana wanaotajwa kama heroes kama hawa (Kibona,Rutihinda) RIP,, picha zao ziwekwe kuvuta kumbukumbu sawia!
Mi nashangaa watu wanawaza ushirikina tu! nina historia yake juu ya uzalendo kwa Taifa lakini sijapata kuiona sura yake! Nikiwa mdogo niliona msululu wa magari ukiisindikiza maiti yake!
 
Malunde

JF-Expert Member
Jun 16, 2010
342
88
I liked Kibona, na bado nakumbuka baadhi ya maneno yake katika hotuba za bajeti bungeni. Neno lililonikaa mpaka leo ni hili, 'watanzania ni masikini katika nchi tajiri'. Japo amekufa maneno yake bado yapo hai.
 
Mwanyasi

JF-Expert Member
Nov 16, 2010
7,919
7,044
I liked Kibona, na bado nakumbuka baadhi ya maneno yake katika hotuba za bajeti bungeni. Neno lililonikaa mpaka leo ni hili, 'watanzania ni masikini katika nchi tajiri'. Japo amekufa maneno yake bado yapo hai.

ni kweli mkuu,
rasilimali nyingi lakini.....
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
210,972
484,347
I liked Kibona, na bado nakumbuka baadhi ya maneno yake katika hotuba za bajeti bungeni. Neno lililonikaa mpaka leo ni hili, 'watanzania ni masikini katika nchi tajiri'. Japo amekufa maneno yake bado yapo hai.
Na baada ya kifo chake watu walifanya kufuru kwenye upigaji
 
1 Reactions
Reply
Top Bottom