Picha:Wazungu eti wanadai mademu wetu wakiafrika hawana mvuto ebu angalia wao

Hivyo vimbau mbau ndo vizuri Mkuu!
Na ndo wanaoolewa hao..... Tembo hawafugwi wanaangaliwa tu huko huko mbugani
Ndio maana dada zetu kila uchwao wanahangaika na diet
Mwanamke wa kiafrika (bantu) anaye ji diet, hajitambui na kaathirika na uzungu ki saikolojia.
Afadhali afanye mazoezi kwa ajili ya kuimarisha afya yake kuliko kuji diet.

Mwanamke yoyote aliyenona anaheshimika marambili, mosi kwa kuwekwa kwenye kundi la mke wa mtu na kupewa heshima stahiki, hata kama hajaolewa.

Pili na kama ameolewa, heshima juu kwa mme kwamba anatunza na kujali.

Sasa mwanamke kimbaumbau anashobokewa na jamii gani hapa Afrika? Sijawahi kusikia.
 
Kweli kabisa mkuu hata mimi mwenyewe wanawake wanene nawapenda sana kuliko hivyo vyembamba!
 
John stephano ha ha ha ha umenichekesha ulivyo "eti hawa wanarusha ROCKET sayari ya mars"

Ha ha sijui wanafeli wapi ila maisha ni kuchagua brother
 
Nakuunga mkono, vimbaumbau vitamu balaa, ukipiga unataka tena hapo hapo.
Lakini hawa mabonge unahisi umetenda dhambi kubwa kweli, halafu unabaki unazilaumu Genye kwa kukunyegeza. Hawa wa kwetu wanavutia ndani nguo tu,
Huwezi nishawishi kuacha hii murembo hapo chini mazee....
tapatalk_1559331565238.jpeg
 
Nyama ya mfupa tamu ila wembamba wa kuni Apana...!

Ila unene wa kitipwatipwa, kiuno kuonekana kwa shida apana Γ— 2!..
 
wazungu afya mbovu...hawataki kujishughulisha na mabooster kama hilo
 
Back
Top Bottom