PICHA: Waziri wa Ujenzi na Rais Kikwete wazindua barabara za lami mikoa ya kusini 60 km Lindi

yaani wewe utahangaika peke yako na bahari mbaya leo lizaboni amelala kwa uchovu

umeshapewa dodoki

au hujui maana ya dodoki la kumsafisha;

kachukue book 10 ya kifurushi ; inayobaki yako ; weka kifurushi cha 500 faida 9500

mbowe dodoki analotumia 10 bil
 
Naona mpinzani mtarajiwa anaoshea nyota ya mwenzake ndo maana anajiuma uma kwa mpambe wake hapo
 
umeshapewa dodoki

au hujui maana ya dodoki la kumsafisha;

kachukue book 10 ya kifurushi ; inayobaki yako ; weka kifurushi cha 500 faida 9500

mbowe dodoki analotumia 10 bil
Teh heheheh! Umepaniki broo
 
kanda ya ziwa;
kagera
shinyanga
mwanza
musoma
tabora
geita

ushindi.......................
90% kwa magufuri
lowasa 17%

nyanda za juu kusini ,
magufuri 65%
lowasa 32%

coastal
magufuli 60%
lowasa 21%


zanzibar
magufuri 60%
lowassa 39%

kaskazini

lowasa 60%
magufuri 32 %


kanda ya kazi;
magufuri 59 %
lowasa 32%

ziwa magharibi

magufuri 80 %
lowassa 12 %

ndo maana kwa mara ya kwanza ccm wapiga mwizi kimya kimya;

ccm 72 %
ukawa 28 %


Mda mwingine uwe unafikiria nawe sio unatumwa tumwa tu kuandika izo takwimu uchwara

Ama kweli mwenye macho aambiwi tazama na wala usimwamshe alie lala …
 
Hivi kwani upinzani mpaka upinge kila kitu. Magufuli yuko kazini kama waziri wa ujenzi, mwache afanye kazi yake. Amekuwa anafanya hivi kabla hata hajateuliwa. Alivyoenda kufungua barabara machame mbona hamkusema, badala yake mnatafuta vipisi vya hotuba na kurushiana.. Nini mnaanza kuhusisha kazi zake za kawaida na ugombea urais wake. Muda wa mambo ya Urais bado. Hii ni barabara. True hizi ni kodi zetu ulitaka tusijenge barabara ili mseme CCM imewasahau watu wa kusini. Kazi ya serikali ni kukusanya kodi na kuzitumia kwa maendeleo. Unataka kuniambia CHADEMA ikiingia itaendelea kutumia hizo 10bn kufanya kila kitu? Hoja zenu zote CCM amefuta na hii ya ufisadi haipo tena. Imebaki stori ya Nyani kucheka.....le.
 
Watanzania tuwe na utamaduni wa kusifu vitu vizuri vikifanyika sio kila siku kulalama!

Mtu anapofanya kazi zaidi ya ile ulitomtuma au anapojitolea ndio husifiwa,sasa hawa tumewapa fedha wajenge Barbara,wamekula nyingine na familia zao nyingine ndio hivi vi barabara geresha halafu wasiwe?kweli mtaji wa ccm ni wajinga
 
kanda ya ziwa;
kagera
shinyanga
mwanza
musoma
tabora
geita

ushindi.......................
90% kwa magufuri
lowasa 17%

nyanda za juu kusini ,
magufuri 65%
lowasa 32%

coastal
magufuli 60%
lowasa 21%


zanzibar
magufuri 60%
lowassa 39%

kaskazini

lowasa 60%
magufuri 32 %


kanda ya kazi;
magufuri 59 %
lowasa 32%

ziwa magharibi

magufuri 80 %
lowassa 12 %

ndo maana kwa mara ya kwanza ccm wapiga mwizi kimya kimya;

ccm 72 %
ukawa 28 %

Haaahaaaa.......... Kwa matokeo hayo UKAWA mtawauwaa kabisa.
 
kanda ya ziwa;
kagera
shinyanga
mwanza
musoma
tabora
geita

ushindi.......................
90% kwa magufuri
lowasa 17%

nyanda za juu kusini ,
magufuri 65%
lowasa 32%

coastal
magufuli 60%
lowasa 21%


zanzibar
magufuri 60%
lowassa 39%

kaskazini

lowasa 60%
magufuri 32 %


kanda ya kazi;
magufuri 59 %
lowasa 32%

ziwa magharibi

magufuri 80 %
lowassa 12 %

ndo maana kwa mara ya kwanza ccm wapiga mwizi kimya kimya;

ccm 72 %
ukawa 28 %

Ukawa na tim edo, wanatana hii page iondolewe, ila huo ndo ukweli, wasije kufa kwa pressure, umewaambia in advance. ..

Iliwahi kutamkwa
TAZAMA NMEKWISHA WAONYA MBELE
 
Magufuli hongera Sana,wakati mwingine huwa nasema hata usipoupata urais watz hawa hawa wanaokubeza watajua umuhimu na thamani yako.watz chuki,vijicho na fitna ndo vinasabisha nchi yetu haiendelei.
 
Nakumbuka wakati rais Kibaki wa kny akigombea kwa mara ya pili maji yalikuwa shingoni km kwa kikwete na mgombea wake magufuli wanavyo haha kujionyesha eti wanafungua miradi ya barabara .kibaki alifungua soko moja liko kati kati ya mji wa Nairobi linaitwa Muthurwa wakati akimalizia kampeni lakini wananchi walimnyima kura sembuse magufuli!!!!
 
Shughuli wanayo namuona mama nae kashika utepe Mara ya mwisho mwisho maana hata OFISI za WAMA zinahama mjengoni zitaelekea MSOGA au Kwenye ile Shule yetu wanajua yy na mwenza chamsingi mnayemnadi hauziki kama hamuamini Oct 25 ni fail. Mjiandae kisaikolojia kukubali matokeo
 
Nakumbuka wakati rais Kibaki wa kny akigombea kwa mara ya pili maji yalikuwa shingoni km kwa kikwete na mgombea wake magufuli wanavyo haha kujionyesha eti wanafungua miradi ya barabara .kibaki alifungua soko moja liko kati kati ya mji wa Nairobi linaitwa Muthurwa wakati akimalizia kampeni lakini wananchi walimnyima kura sembuse magufuli!!!!
Unasahau kuwa Mwai kibaki ndio kama nyie mnaotaka kuingia kwa njia za kijanjajanja. Mwai Kibaki alikuwa ni chimbuko la upinzani. Hatuwezi kuwapa halafu muanze kung'ang'ania kama huyo Kibaki. Bora iendelee CCM yenye sera madhubuti
 
Barabara imejengwa kwa kodi zetu,sio magufuli wala kikwete alietoa pesa mfukoni,wamesimamia tu,,tuna washukuru kwa hiyo..Sasa kwani wavae nguo za ccm,kwenye ishu ya kiserekali ?kikwete wakati anatoka nyumbani hajamuona mama salma alivyo vaa..lakini haya,kadi yangu ninayo,tutakutana October...hii nchi ni yetu sote...
 
Back
Top Bottom