Picha: Waziri wa Mambo Ya Nje alivyompokea Barack Obama uwanja wa ndege wa KIA

roho imewauma sana kukaa tz siku nane....mlitoa povu wiki nzima. nasikia zinadine zidane yupo tz kwa vacation. mtajibeba awamu hii.

Ingeniuma kama angefanya mbwembwe zote hizi huko Tz halafu aje kutukenulia meno, lakini hilo la kuja kimya kushangaa nyumbu wa Serengeti sioni kama tatizo maana ni private citizen kwa sasa, hivyo anaruka na kwenda popote muda autakao iwe kwa siri au kwa mbwembwe.
 
huku alikuja kwa ajiri ya vacation...vacation za watu mashuhuri wa level ya barack obama siku zote haziwi public hata wewe mwenyewe unalijua hilo ila tu umeamua kujitoa ufahamu. alitaka privacy yake iheshimiwe.

huko kwenyu haji kwa ajiri ya vacation, anakuja kwa shughuli ya kijamii ndio maana taarifa zipo public na uwepo wake hautazidi siku mbili au tatu.
Afadhali umemfafanulia huyu nyang'au MK254.
 
Ingeniuma kama angefanya mbwembwe zote hizi huko Tz .

hafanyi yeye hizo mbwembwe, ila nyinyi ndio mnafanyia mbwembwe. na mnafanya hivyo kwasababu tayari ujio wake upo rasmi sio wa kutaka faragha kama alipokuwa anakula bata na michelle kule serengeti.
 
Si anaenda Kenya, mbona katua KIA? Kweli Tz kisiwa cha amani - free of Al Shabahs! Karibu sana Tz raisi mstaafu wa taifa kubwa duniani. Ingependeza mkaonana na mwenzako wa kule Msoga, Bagamoyo kama atakuwa hajasafiri nje ya nchi.
Kikwete has nothing to offer so much so that he can't entice Obama.
 
nyumbu za kenya huu uzi wanaupitia mbali sana. uzi umekuwa wa moto kwao.

don't worry kenyans he is coming to kenya and will stay there for only two days. mind you he stayed in serengeti for almost a week.
Huku kaja kuona wanyama,Kenya kaonana na rais,kwa nini asionane na nabii wa bashite? Tafakari
 
Huyu mzee nilimsikia juzi ngeli yake yuko vizuri sana
Dr. Mahiga ni mwanadiplomasia nguli wa Tanzania wa muda mrefu sana.

Halafu ni kati ya watu akiongea hata kabla hajakwambia kwamba yeye ni Dr., maongezi yake tu yanaonesha usomi.

Halafu si mtu wa mashauzi, anajimix na watu vizuri sana hata humjui.

Huyo mtuwa Nyerere. Alikuwa Kaimu Mkurugenzi wa Usalama enzi za Nyerere. Ndiye Mr. X katika kesi ya uhaini. Aliwaendesha vibaya sana kama shahidikatika kesi ya uhaini.

Jamaa ni bonge la namba chafu, lakini ukimuona unaweza kumdharau.

Kashawaendesha sana UN Security Council New York hapo alivyokuwa balozi wetu UN mpaka Tanzania ikawa member wa Security Council.

Wasomali mpaka leo wengi wanampenda sana kwa sababu alifanya kazi kubwa kurudisha amani Somalia kama muwakikishi maalum wa UN Somalia.
 
Dr. Mahiga ni mwanadiplomasia nguli wa Tanzania wa muda mrefu sana.

Halafu nobkati yavwatu akiongea hata kabla hajakwambia kwamba yeye ni Dr., maongezi yake tu yanaonesha usomi.

Halafu si mtu wa mashauzi, anajimix na watu vizuri sana hata humjui.

Huyo mtubwa Nyerere. Alikuwa Kainu Mkurugenzi wa Usalama enzi za Nyerere. Ndiye Mr. X katika kesi ya uhaini. Aliwaendesha vibaya sana kama shahidibkatika kesi ya uhaini.

Jamaa ni bonge la namba chafu, lakini ukimuona unaweza kumdharau.

Kashawaendesha sana UN Security Council New York hapo alivyokuwa balozi wetu UN mpaka Tqnzania ikwa mwmber wa Security Council.

Wasomali mpaka leo wengi wanampenda sana kwa sababuvalifanya kazi kubwa kurudisha amani Somalia kama muwakikishi maalum wa UN Somalia.
Asante kwa taarifa.mkuu
 
Back
Top Bottom