Picha: Waziri wa Mambo Ya Nje alivyompokea Barack Obama uwanja wa ndege wa KIA

MK254 unatafutwa huku!!

Huku wapi, halafu mbona kapitia huko kama mtu anayekwenda kwa nyumba ndogo, kimya kimya au mlimkwepa kwa kuogopa Kingereza...siunajua tena huwa mnasema mnabana matumizi hamtaki kukutana na wazungu....hehehehe
Anyway kwa sasa yupo kwa nchi ya mababu zake na ni mwendo wa mbwembwe au kama vipi tuifanye kesho kuwa sikukuu ili mtuseme hadi povuuuu
 
Tanzania kakaa siku nane akila Bata na familia yake, leo ndio ametua Kenya.
Mbona kaenda moja kwa moja South Africa kushiriki sherehe ya mshindi wa Nelson Mandela Prize itakayofanyika kesho.
 
Huku wapi, halafu mbona kapitia huko kama mtu anayekwenda kwa nyumba ndogo, kimya kimya au mlimkwepa kwa kuogopa Kingereza...siunajua tena huwa mnasema mnabana matumizi hamtaki kukutana na wazungu....hehehehe
Anyway kwa sasa yupo kwa nchi ya mababu zake na ni mwendo wa mbwembwe au kama vipi tuifanye kesho kuwa sikukuu ili mtuseme hadi povuuuu
huku alikuja kwa ajiri ya vacation...vacation za watu mashuhuri wa level ya barack obama siku zote haziwi public hata wewe mwenyewe unalijua hilo ila tu umeamua kujitoa ufahamu. alitaka privacy yake iheshimiwe.

huko kwenyu haji kwa ajiri ya vacation, anakuja kwa shughuli ya kijamii ndio maana taarifa zipo public na uwepo wake hautazidi siku mbili au tatu.
 
Hata aje siku moja tu imetosha, mbwembwe zitakazofanywa hapa kama hamtajifunza kitu basi muendelee kudumaa, subiri mjionee michezo ya kiunyang'au, humo kwanza tunafanya vikao vya biashara na makubaliano na uzinduzi wa madubwasha kadhaa.
 
nyumbu za kenya huu uzi wanaupitia mbali sana. uzi umekuwa wa moto kwao.

don't worry kenyans he is coming to kenya and will stay there for only two days. mind you he stayed in serengeti for almost a week.
Akili haijai kwenye kisoda….utoto..
 
Mambo yanabadilika sana.. Kutoka airforce one mpaka 5H- sio mchezo..Kumbe jiwe nae ataenda na Vitz Chaaato
Na hii ndo sababu marais wengi wa Africa huwa wanan'gan'gania madarakani mda wao unapoisha
 
Hata aje siku moja tu imetosha, mbwembwe zitakazofanywa hapa kama hamtajifunza kitu basi muendelee kudumaa, subiri mjionee michezo ya kiunyang'au, humo kwanza tunafanya vikao vya biashara na makubaliano na uzinduzi wa madubwasha kadhaa.

porojo za kinyumbu hizo.
kwa akili yako unadhani siku alizokaa hapa tz, ikulu ya Jpm haikutuma watu wake wa ndani wa kwenda kuzungumza naye masuala kadhaa yenye faida kwa tz?.

sisi mambo yetu ni kimyakimya ila impact yake lazima ipeleke kilio kenya.

jiulize tu swali dogo, kwanini obama alichagua kuspend vacation yake tz kwa takribani wiki nzima. ukipata jibu ndio utajua tz ya sasa ni ya watu wa aina gani.

haya tunasubi kuona hizo mbwembwe mmtakazo mfanyia obama kwa hizo siku mbili.
 
Hamnaaa...nyie ni wale wale hamjui kuchangamkia fursa mpo mpo tu, kaja kwenu kuwashangaa nyumbu na kugeuza....

Haya mbwembwe zimeanza, anzeni kutusema
 
roho imewauma sana kukaa tz siku nane....mlitoa povu wiki nzima. nasikia zinadine zidane yupo tz kwa vacation. mtajibeba awamu hii.
 
Back
Top Bottom