Picha: Waziri Ummy awapigia magoti wanakijiji kumuombea kura mgombea wa CCM, Dk Mollel

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
23,718
66,262
bde50b169911aabe96abe1eac86aa8c7.jpg


Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akiwapigia magoti wananchi wa Kijiji cha Ngiriny, wilayani Siha kumuombea kura mgombea wa CCM, Dk. Godwin Mollel katika kampeni ya uchaguzi mdogo wa marudio ya ubunge wa Jimbo hilo.

Chanzo: Mtanzania Digital
 
Mh! Usanii uliotukuka!!! Nataka Watanzania waishi kama mashetani! Sijaribiwi Mimi!!! :eek::eek::eek:

bde50b169911aabe96abe1eac86aa8c7.jpg
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akiwapigia magoti wananchi wa Kijiji cha Ngiriny, wilayani Siha kumuombea kura mgombea wa CCM, Dk Godwin Mollel katika kampeni ya uchaguzi mdogo wa marudio ya ubunge wa Jimbo hilo.

Chanzo: Mtanzania Digital
 
bde50b169911aabe96abe1eac86aa8c7.jpg
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akiwapigia magoti wananchi wa Kijiji cha Ngiriny, wilayani Siha kumuombea kura mgombea wa CCM, Dk Godwin Mollel katika kampeni ya uchaguzi mdogo wa marudio ya ubunge wa Jimbo hilo.

Chanzo: Mtanzania Digital
Asee... Kazi kweli kweli... Hivi kwa haya maendeleo ya kasi ya umeme yanayoletwa na serikali huku uchumi ukikua kwa kasi ya kimbunga hadi watu wanajihudhulu nyazifa zao kuunga mkono juhudi za mheshimiwa, kuliluwa na haja ya kupiga magoti na kuomba kura kweli!!!!!!
 
akitoka hapo kwenye ndinga yake yenye kiyoyozi
nyumba kalipiwa
maji buuuureeee
posho n.k

hao waliopigiwa magoti wakitoka hapo ni kwenda kuulizana hela ya luku
kuomba maji kwa jirani
kununua mkaa wa mafungu
na kuweka maharage jikoni.
Hakika kabisa kiyoyozi kama cha ndinga letu lenye namba KUB
 
Back
Top Bottom