Picha: Waziri Mkuu Majaliwa Uso kwa Uso na Lowassa

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,850
ImageUploadedByJamiiForums1454255801.155652.jpg

Waziri mkuu mstahafu Lowassa akisalimiana na Waziri mkuu Majaliwa
 
Nyie manyumbu ndiyo mnashikana mashati humu na kupoteza muda wenu kuteteta fisadi Lowasa wenzenu wanakutana juu kwa juu wanagonga mvinyo tu, unafikiri hiyo ndiyo mara ya kwanza wao wanakutana?
Kwahiyo nwakubwa wa nchii nao wanacheka na kunywa mvinyo na fisadi,
Kwanini hii isiwe serikaliii ya mafisadi pia?
 
Walisema watamzika kabla ya Uchaguzi wa mwaka 2015 kuisha, lakini leo anasalimiana nao!!
Hehe Tehetehee mkuu umenikumbusha yule Mhe aliyebwagwa na Bulaya aliitabiria kifo CDM lakini kwa kuwa Mungu si Athumani ameishia kufa yeye kisiasa. Siasa bwanaa..
 
Nyie manyumbu ndiyo mnashikana mashati humu na kupoteza muda wenu kuteteta fisadi Lowasa wenzenu wanakutana juu kwa juu wanagonga mvinyo tu, unafikiri hiyo ndiyo mara ya kwanza wao wanakutana?
Nyumbu ni nyie ccm mnaokesha kukariri kuwa Fisadi ni Lowasa pekee, kwani pesa za marehemu Gadafi alichukua lowasa? Pesa za escrow alikula Lowasa? Pesa za mabehewa mabovu alikula Lowasa? Chenji ya rada alikula Lowasa? Zile billion 1.7 za ccm zilizopotea wakati kampeni ikiendelea zilipelekwa kwa Lowasa? Na kile kivuko kibovu cha billion 8 kilinunuliwa na Lowasa? Nyumbu ni ccm ambao nchi ina miaka 54 hakuna maendeleo lakini wapo wanaishi kwa ndoto za kutokea muujiza wa kujitambua.
 
T

tena kibaya wasira aliuza migodi yake pesa akapeleka kwenye kampeni matokeo yake ndiyo yamemlaza ndani anaumwa pressure ipo juu hakuna mfano.
 
Mnarushiana kila maneno huku wenyewe wanashikana mikono.
Uchaguzi ushapita tufanye mambo mengine kuendeleza mshikamano.
 
Nyumbu ni nyie ccm mnaokesha kukariri kuwa Fisadi ni Lowasa pekee, kwani pesa za marehemu Gadafi alichukua lowasa? Pesa za escrow alikula Lowasa? Pesa za mabehewa mabovu alikula Lowasa? Chenji ya rada alikula Lowasa? Zile billion 1.7 za ccm zilizopotea wakati kampeni ikiendelea zilipelekwa kwa Lowasa? Na kile kivuko kibovu cha billion 8 kilinunuliwa na Lowasa? Nyumbu ni ccm ambao nchi ina miaka 54 hakuna maendeleo lakini wapo wanaishi kwa ndoto za kutokea muujiza wa kujitambua.

Aliyefubaisha maendeleo TanZania ni fisadi Lowasa &Co. kwa maana walikuwa wanaiba kila tulichowekeza sasa wametoka utaona nchi itakavyopaa, na kupaa tumeshaanza!

HAPA KAZI TU!
 
K
Kwahiyo nwakubwa wa nchii nao wanacheka na kunywa mvinyo na fisadi,
Kwanini hii isiwe serikaliii ya mafisadi pia?
Richmond ni ya Kikwete ambaye ni Ndugu yake na majaliwa ina maana majaliwa hawezi kukaa na Kikwete wakapiga story? Waliopiga pesa za escrow wapo bungeni waliouza nyumba za Serikali na michongo kibao wapo ina maana wao hawaonekani mpaka mkariri kuwa Lowasa ni Fisadi?
 
Aliyefubaisha maendeleo TanZania ni fisadi Lowasa &Co. kwa maana walikuwa wanaiba kila tulichowekeza sasa wametoka utaona nchi itakavyopaa, na kupaa tumeshaanza!

HAPA KAZI TU!
itapaa vp wakati ndiyo kwanza dola ya marekani inazidi kwenda juu na shilingi inashuka, Ufisadi wa Lowasa ni upi wakati Richmond ni ya Kikwete.
 
Nyie manyumbu ndiyo mnashikana mashati humu na kupoteza muda wenu kuteteta fisadi Lowasa wenzenu wanakutana juu kwa juu wanagonga mvinyo tu, unafikiri hiyo ndiyo mara ya kwanza wao wanakutana?
Nyumbu walikali
Rais wao lowassa
Hahaha wakati mwenyewe anakwambia Rais wake ni Magifuli
Amakweli nibora utukanwe mengi sio kuitwa Nyumbu wa CDM
 
Back
Top Bottom