Habari za jumapili wadau!
Naomba kutoa hii hoja. Imekuwa kawaida Yangu ninapohudhuria ibaada kanisani, kukaa sehemu ile ile, yaani hata nikichelewa kanisani wakati mwingine eneo nilipozoea kukaa hupakuta pako wazi, hii hali ilifanya nifanye kautafiti kadogo Kwa kuwakariri waumini wenzangu sehemu walizo keti, Utafiti Wangu Leo umetimiza miezi 6 na nimegundua ni kweli na wao hukalia siti au mabenchi yaa eneo lile lile yaani kama ni Wa mbele siku zote lazima akae mbele hata kama kachelewa, vivyo hivyo Kwa back beaches.
Wapo wengine waliozoea kukaa upande Wa wanawake na kiila siku hukaa huko huko, wapo wadada ambao hukaa upande Wa wanaume nao kiiila siku hivohivo,
Nilijaribu kubadili sehemu lakini nilishindwa kabisa kuwa Comfortable na ile sehemu Mpya.
SWALI; NINI HUMFANYA BINADAMU AWE NA TABIA HII? MAMBO GANI HUSABABISHA? Maana naambiwa hii tabia watu wanayo kote hadi misikitini na katika kumbi za mikutano kuzoea kukaa sehemu moja.
Kiasi kwamba hupaswi kumtafta mtu Kwa kuzunguka kanisa zima au ukumbi mzima zaidi ya kuangalia eneo analopenda kukaa ukimkosa juwa Hayupo!
"WENGINE WANAZO TABIA HIZI HADI WAKIWA BAR AU GUEST WANAKUWA UNCOMFOTABLE! Je; husababishwa na nini? KARIBUNI