picha: Wassira, Nape na Shigella wafurahi ... tuhuma za rushwa zashamiri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

picha: Wassira, Nape na Shigella wafurahi ... tuhuma za rushwa zashamiri

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by bluetooth, Sep 23, 2012.

 1. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #1
  Sep 23, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,936
  Likes Received: 673
  Trophy Points: 280
  View attachment 65850


  Dodoma tense as CCM vets cadres

  Sunday, 23 September 2012 09:33


  By Peter Nyanje
  The Citizen Political Reporter
  Dodoma. Things are hotting up as the ruling CCM cracks down on corrupt political cadres by roping in the anti-corruption bureau to help vet potential candidates for leadership posts within the party as it gears up for a tough race in the upcoming 2015 General Election.

  As Chama Cha Mapinduzi (CCM) stalwarts convened in the Tanzanian capital yesterday, spokesperson Mr Nape Nnauye told The Citizen on Sunday that they have in place specific mechanisms to ensure corrupt individuals do not make it to the upper echelons of the ruling party.

  "We have given the PCCB [Prevention and Combating of Corruption Bureau] leeway to deal with any candidate or voter who entertains bribery without having to worry about their position within the party," said the CCM publicity secretary.

  Opinion : The picture speaks louder than words
   
 2. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #2
  Sep 23, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  duuuuuuh..hiyo pic kaiona mwenyekiti+EL?hizi ndizo surah, baada ya kumchinja mtu huko katk nyuma ya wafu.
   
 3. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #3
  Sep 23, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,315
  Likes Received: 5,609
  Trophy Points: 280
  Wassira ni mnafiki hujawahi ona!!!
   
 4. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #4
  Sep 23, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  mzee wa .... Naona kafurahi ile mbaya! Nadhani kaambiwa akachukue form za kugombea urais
   
 5. T2015CCM

  T2015CCM JF-Expert Member

  #5
  Sep 23, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 7,924
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Kwa raha zao,sijui wanachekelea nini apo?
   
 6. Msolopagazi

  Msolopagazi JF-Expert Member

  #6
  Sep 23, 2012
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 659
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Mbona naona kama kuna watu wako na Sokwe au macho yangu mabovu ngoja nimwambie mama nanii anipe miwani yangu!!
   
 7. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #7
  Sep 23, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Not funny. Mungu akusamehe.
   
 8. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #8
  Sep 23, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,629
  Likes Received: 9,842
  Trophy Points: 280
  si kitu chema kumfananisha mtu na sokwe mkuu.......japo CCM inakera sana na uongozi wake............
   
 9. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #9
  Sep 23, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  Ila jaamaa inabidi ajivunie rangi yake kweli ni Africanboy!Dah!!kutoka weusi hadi kama blue.........african african
   
 10. Mpitagwa

  Mpitagwa JF-Expert Member

  #10
  Sep 23, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 2,298
  Likes Received: 213
  Trophy Points: 160
  Raha za CCM baada ya vikao huwa ni kushangilia kupigwa chini kwa mtu na mtu wanayemtaka wao kupita. Na mchezo huu ulianza tangu kipindi cha Mwinyi. Na kipindi cha Mkapa ndoo komba akaja na wimbo wa nambari one ni CCM na wanauimba baada ya kumalizana. Na ukisikia wimbo huu unaimbwa ujue leo lazima panuke au pashasanuka. Ndoo zao hawapendani hata kidogo. chuki kwao kawaida
   
 11. M

  Masterproud JF-Expert Member

  #11
  Sep 23, 2012
  Joined: Sep 14, 2012
  Messages: 443
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Daaah...namuona "handsome boy" Wasira kafuraaahi. simchezo hakiyanani.. Wasira!
   
 12. Mkusa

  Mkusa JF-Expert Member

  #12
  Sep 23, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Wakuu, Mbona huyu Mtoto wa Wasira Mwenye kadi ya Peoplesssssssss (wa tatu kutoka kulia) hafanani na ile Jamii iliyo karibu nasi Ki Baiolojio ya Wassira,
   
 13. t

  tenende JF-Expert Member

  #13
  Sep 23, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 6,560
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Evolution of man: sote tulikuwa manyani! mzee wetu yuko pooowa!
   
 14. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #14
  Sep 23, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  Hii picture ni dhahiri JF hawakukosea kuwapa majina ya kiaina, kwani hawa jama ni wachumia tumbo na wapaka matope watu.

  Ni watu wapotofu, check walivyotoka nje kuja shangilia move wanazopiga ndani ya chama chao.Ni wazi hawa hata ndani ya chama ni wa hovyo tuu kama wahuni wengine wanaozomeana vijiweni.

  Kumbe ndio maana Bunge letu limekuwa na hovyo sana,kwa kuwa idadi ya wana CCM ni kubwa.
   
 15. kiplagati26

  kiplagati26 JF-Expert Member

  #15
  Sep 24, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 277
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Mmh hafu na wewe sio mpango huo nazani unatalajia kupata mtoto son sio mpango wewe mkristo.
   
Loading...