Hahahaha du! kweli vitukoNdio maana Mugabe alisema akimkamata Laira Odinga atampasua kende zake, wezi Sana wakenya, wanatamani hata kuubeba mlima Kilimanjaro, bora Mugabe ampasue zile kende ili watie adabu
Sijui wamepeleka sifa ipi kwaoShenzy kabisa hawa
Imekuwa kawaida kwao, Ila wanaubunifu wa kubebaHawa jamaa wakiingia buchani nusu ng'ombe hakuna maana wapo sawa kufinga
Hahaha ZIZINI du! ndio wapiNyama ni tamu jamani,sasa kama hii aliyokuwa ameificha hadi usawawa zizini , hivi akipata kipindu pindu atamlaumu mtu kweli..??
Moto chini
1.umejuaje km hao ni raia wa Kenya
2.hao ni wabangubangu
Km umeishi maisha yale utani elewa
3. Mleta mada hiyo tabia ni uistabani ng'ondo zako aziphilanga kalhe.
Mkuu wewe ni mtanzania kweli? 😉 mbona lugha yako haieleweki. Soma mstari wa mwisho....sijui imeandika nini.