Picha: Wake wawili wawili:sheria ya serikali inasema nini na pesa za walipa kodi?

mapambano

JF-Expert Member
Mar 14, 2008
535
14
2.jpg

Bi Zakia Bilal

asha%2B2.JPG

Bi Asha Bilal

9.jpg

3.JPG

02.jpg

Mhe Ali H Mwinyi tunajua alikuwa nao. Huyu VP naye naona ana wake wawili. Tetesi: kuwa JK naye ana wake wawili. Hivi sheria za serikali zinasema nini kuhusu kuwa gharamia hawa mabibi ?
 
mmmoja wa utotoni ( wa kupewa na Wazazi) mwingine wa kuchagua mwenyewe baada ya kupata pesa au nafwasi. Yaani kama lilivyo kuwa Geshi retu ra zamani unaanza koplo huna hela una mke wa kijijini, ukisha kuwa meja au pororo lina patikana kwa saana una upgrade na wale wenye kujichubua.
 
sHERIA INASEMA UKIWA HUNA MKE UOE, PADRI HARUHUSIWI KUWA RAIS

Malaria Sugu, hii haiusiani na Dr Slaa. Mimi la Dr Slaa kuwa na kimada silifagili hata kidogo. Najua sheria za dini zina ruhusu kuoa ata wake 4 kama utaweza kutimiza masharti ya dini. Swali langu ni kuhusu sheria za serikali na gharama zinazotumika na pesa za walipa kodi na sio pesa za Dr Bilal.
 
mashoga wengi waislam. Lkn wanolawiti wengi watoto ni mapadri wako, wabakaji ndani ya madhbahu kisingizio cha kulea

hahaha!

tunaijua miradi yenu muliyoianzisha kulivuruga kanisa.

lakini haitafanikiwa.

Kwa nini huwa munakula tende?
 
Jamani, hoja za udini hapa sio mahala pake. Malaria Sugu na Ng'anangwa kila mtu ana haki ya kuamini anayotaka, naomba tuwache chuki za kidiini kwa sababu hizo hazijengi taifa letu!
 
Sheria ya kiislamu inasema ukiwa fankshenlesi, basi kuwa bwabwa

ndiyo maana mashoga wengi ni waislamu.

mashoga wengi waislam. Lkn wanolawiti wengi watoto ni mapadri wako, wabakaji ndani ya madhbahu kisingizio cha kulea

hahaha!

tunaijua miradi yenu muliyoianzisha kulivuruga kanisa.

lakini haitafanikiwa.

Kwa nini huwa munakula tende?

Haya ndio matatizo ya udini. Tunawacha kujadili mambo ya msingi yanayoweza kulisaidia taifa letu, tunabaki na chuki za kidini zinazobomoa umoja wetu. Shame !
 
sHERIA INASEMA UKIWA HUNA MKE UOE, PADRI HARUHUSIWI KUWA RAIS

Duh, umenifunguwa macho, hivi yule Slaa aliacha upadri akaoa halafu akaongeza na mke wa mtu, kumbe ndio lengo lake. Nampa pole sana, kwani inabidi ajaribu tena baada ya miaka mitano.
 
2.jpg

Bi Zakia Bilal

asha%2B2.JPG

Bi Asha Bilal

9.jpg

3.JPG

02.jpg

Mhe Ali H Mwinyi tunajua alikuwa nao. Huyu VP naye naona ana wake wawili. Tetesi: kuwa JK naye ana wake wawili. Hivi sheria za serikali zinasema nini kuhusu kuwa gharamia hawa mabibi ?

wewe hii thread yako si mahali pake, mambo ya sheria yana forum yake, kama vp weka ktk thread ya watu maarufu, unatuchafulia hewa na wehu wenzio tu humu mods tafadhali tuondolee hii post ktk hili MV Mapenzi
 
mijutu mingine bana, mnaulizwa mavi mnajibu mkojo!! jibuni hoja na sio kuleta udini tuuuuuuuuuu
 
MOD, kwa mtazamo wako hii inahusu mapenzi. Kwa Mtanzamo wangu hii inahusu siasa za Taifa letu. Hawa ni viongozi wa siasa, na sheria inayohusu gharama za viongozi wenye wake wawili au zaidi. NI KUHUSU PESA ZA WALIPA KODI NA SIO MAPENZI.

Ombi: Irudishe kwenye jukwaa la siasa ili walipa kodi wajue ni nini kinachoendelea kuhusu viongozi wenye wake wawili au zaidi na gharama za serikali....
 
wewe hii thread yako si mahali pake, mambo ya sheria yana forum yake, kama vp weka ktk thread ya watu maarufu, unatuchafulia hewa na wehu wenzio tu humu mods tafadhali tuondolee hii post ktk hili MV Mapenzi

Hii lina wagusa walipa kodi, siasa na viongozi. Sio mwala la mapenzi. Ni Gharama sinazotokana na walipa kodi, walipa kodi wanahaki ya kujua pesa zao zinatumika vipi...
 
Hii lina wagusa walipa kodi, siasa na viongozi. Sio mwala la mapenzi. Ni Gharama sinazotokana na walipa kodi, walipa kodi wanahaki ya kujua pesa zao zinatumika vipi...

ndiomaana nikasema umekosea pa kuposti, yaani wewe umeposti thread bila kujua unaiweka wapi matokeo yake ndio hayo, na wenzio wamekurupuka kuchangia bila kukuelewa, hili ni jukwaa la mapenzi, urafiki na mahusiano, siasa za nini, hata kama ni pesa za walipa kodi kilio chako kiwekwe mahala Husika, hapa ni mapenzi nyinyi ndio mnaokimbia jukwaa la siasa kuhamia huku bila hodi sasa angalia unachofanya , nakukumbusha tena hapa ni mapenzi tu.............................ONLY LOVE IS SPOKEN HERE..............AM I COMMUNICATING?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom