Picha: Wabunge wa CHADEMA kwenye uzinduzi wa tawi la CHADEMA DC

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
[h=2]onday, May 28, 2012[/h]
[h=3]Picha Za Waheshimiwa Zitto Kabwe,Peter Msigwa,Joshua Nassari,Leticia Nyerere,Maryam Msabaha Walivyofunika Kwenye Uzinduzi Rasmi Wa Tawi La CHADEMA Washington DC[/h]

_DSC8343.JPG


Mhe. Peter Msigwa akiandika masuali yaliokuwa yakiulizwa na baadhi ya wakireketwa

_DSC8251.JPG


Mhe. Nassari Joshua (Dogo Janja) Akishanga mamia ya wana DMV waliofurika katika uzinduzi rasmi watawi la Chadema Washington Dc

_DSC8250.JPG


Mhe. Leticia Nyerere (Picha ya kwanza kushoto)akiwa kwenye uzinduzi wa watawi la Chadema Washington Dc





_DSC8252.JPG


Mhe. Maryam Msabaha akiwa kwenye uzinduzi wa watawi la Chadema Washington Dc

_DSC8301.JPG


Mwanachama wa chadema kutoka Boston Ma akiuliza masuali tafauti katika mpango mzima wa uzinduzi rasmi watawi la Chadema Washington Dc uliofanyika jana Mei 27, kwenye ukumbi wa Mirage Hall uliopo University Bld, Hysattsville, Maryland Nchini Marekani.

_DSC8316.JPG


Kamanda Doto akiuliza masuali tafauti katika mpango mzima wa uzinduzi rasmi watawi la Chadema Washington Dc uliofanyika jana Mei 27, kwenye ukumbi wa Mirage Hall uliopo University Bld, Hysattsville, Maryland Nchini Marekani.

_DSC8248.JPG


Mhe. Zitto Kabwe akitoa hutba kuelezea mpango mzima wa mambo yanavyoendelea nchini Tanzania

_DSC8225.JPG


Uongozi wa juu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika uzinduzi rasmi watawi la Chadema Washington Dc kwenye meza ya juu wa kwanza kushoto Libe Mwangombe, akifatiwa na Mhe. Peter Msigwa, Mwenyekiti wa tawi Mhe. Kalley Pandukizi, Mhe. Zitto Kabwe, na Mhe. Nassari Joshua, Dogo Janja, mkutano huo ulifanyika kwenye ukumbi wa Mirage Hall uliopo University Of Bld, Hysattsville, Maryland Nchini Marekani.

_DSC8259.JPG


Wana DMV wakisikiliza hutuba ya Mhe. Zitto Kabwe.



_DSC8319.JPG


Baadhi ya wakereketwa wachukua kadi baada ya uzinduzi wa tawi la chadema Washington.
 
2015 ifike HARAKA, mabadiliko yana gharama kubwa ila kwa sasa yapo njiani.... 2015 tutayashuhudia!! La msingi ni kuweka kipengele katika katiba mpya kinachoruhusu diaspora kupiga KURA huko walipo!!
 
Hawa nao watakuwa wameletwa toka kanda ya kaskazini kujaza ukumbi?

Kwa mujibu wa reasoning ya magamba jibu ni ndio. In fact muda huu Wassira anashughulikia muswada wa neno "kaskazini"

I'm so happy and wish to express my utmost salutes to everyone who made such an occassion possible. Waiting for more from our diaspora siblings.
 
Mhh marekani kuzuri hivi makamanda hawawezi kugombea huko na kuchukua jimbo moja tuamie baadhi ya watanzania huko
 
Mungu ni mwema siku zote, anazijua haja za wamwombao kwa moyo mnyofu, na huzijibu kwa muda mwafaka.
 
Mhh marekani kuzuri hivi makamanda hawawezi kugombea huko na kuchukua jimbo moja tuamie baadhi ya watanzania huko

Hata Tanzania ni kuzuri sana, pengine hata zaidi ya marekani, tukiamua kupatunza na kupazurisha. Usione vinaelea, vimeundwa!
 
Kumbe wakati makamanda juzi wapo Chadema square Dar jopo lingine lilikuwa huko mtoni kwa kazi ya mavuno pia? Hii imekaa utamu. Sasa ni dhahiri chama sasa kina sura inayokubalika kukabidhiwa Dola.
BIG UP MAKAMANDA!!
.
 
Big up sana makamada, tunajua tuliwamiss sana kwenye ule mkutano wa M4C pale CHADEMA SQURE but waliokuwepo waliwakilisha ile mbaya.
 
Pamoja sana makamanda kama maji na samaki, hapa kazi tu mpaka asubihi
 
Safi sana makamanda kwa jitihada ya ukombozi wa taifa letu,dhidi mkoloni sisiem
 
Back
Top Bottom