kitumbotala
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 516
- 623
Wakuu hodi humu ndani, leo nimepata taarifa ya uhitaji wa msaada kwenye kambi ya Wahanga waliofukuzwa kutoka Msumbiji, wapo hapa uwanja wa mashujaa hawana chakula,wala maswala ya afya pale hayapo na pia kuna taarifa ya mtu aliye jifungua katika kambi hyo na akakimbizwa hospital, leo kuna mama na watu wa pembeni wa kambi hyo walipika uji wa chumvi na Kuwapelekea bure hao wahanga.
Tunaomba Waheshimiwa na viongozi wetu wa Serikali mpokee kilio hiki tokea Mtwara kwa kuwasaidia watanzania wenzetu.pale wahanga wanasema hawaja muona mkuu wa mkoa wala mkuu wa wilaya kwa hiyo kama hili ni kweli tunaomba msaada.
Asanteni.
[HASHTAG]#Mungu[/HASHTAG] ibariki Tanzania
[HASHTAG]#Mungu[/HASHTAG] ibariki Africa.