Picha: Wafuasi wa CHADEMA zaid ya 500 Singida warudisha kadi kwa Prof. Lipumba

kigu

Senior Member
May 27, 2012
183
195
KATIKA VIJIJI VYA IKUNGI ,UGHANDI,MKAMALA,NDUGUTI NA SINGIDA MJINI, WAFUASI WALIOKUWA WANAUNGA MKONO SIASA ZA CHAMA CHA CHADEMA WAMERUDISHA KADI KWA PROF LIPUMBA KTK MUDA TOFAUTI KATIKA VIJIJI HIVYO

idawa

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
24,072
2,000
Naona uchaguzi unakaribia kila mtu anajiona mwana propaganda.
 
Kamanda Francis

JF-Expert Member
Nov 30, 2013
834
0
Shame On you... Mie nipo Kwenye Ziara hii ya LIPUMBA, tena Ukome Kuwapotosha Watu Kuwa Wanachama wa CHADEMA zaidi ya 500 Wamerudisha Kadi, si Kweli... Kilichofanyika ni Mama Mmoja akiwa na Mwanaye Walimkabidhi Lipumba Kitabu chenye Historia nzima ya Umuhimu wa Kuwepo Kwa Upinzani Nchini, zaidi ya hapo ni Mchungaji wa Kanisa la EAGT alijiunga na CUF na hakuwa na Kadi ya Chama chochote... acheni Uongo Mitandaoni, kama huna la Kupost Ukae Kimya au Uendelee Ku-Comment Previous Comments za Wenzako. Nawasilisha!
 
SADICK R

JF-Expert Member
Jan 12, 2013
454
225
KATIKA VIJIJI VYA IKUNGI ,UGHANDI,MKAMALA,NDUGUTI NA SINGIDA MJINI, WAFUASI WALIOKUWA WANAUNGA MKONO SIASA ZA CHAMA CHA CHADEMA WAMERUDISHA KADI KWA PROF LIPUMBA KTK MUDA TOFAUTI KATIKA VIJIJI HIVYO
ni haki yao kwenda popote wapatakapo,vipi walikuwa wanasema kwamba walikuwa CHADEMA lakini sasa wameamua kujiunga na CUF?
 
kigu

Senior Member
May 27, 2012
183
195
Shame On you... Mie nipo Kwenye Ziara hii ya LIPUMBA, tena Ukome Kuwapotosha Watu Kuwa Wanachama wa CHADEMA zaidi ya 500 Wamerudisha Kadi, si Kweli... Kilichofanyika ni Mama Mmoja akiwa na Mwanaye Walimkabidhi Lipumba Kitabu chenye Historia nzima ya Umuhimu wa Kuwepo Kwa Upinzani Nchini, zaidi ya hapo ni Mchungaji wa Kanisa la EAGT alijiunga na CUF na hakuwa na Kadi ya Chama chochote... acheni Uongo Mitandaoni, kama huna la Kupost Ukae Kimya au Uendelee Ku-Comment Previous Comments za Wenzako. Nawasilisha!
wewe gamba sugu ......katika mkutano wa wanamageuze unatafuta nini? nyie leteni majungu sisi tunapiga kazi!
 
Lekanjobe Kubinika

JF-Expert Member
Dec 6, 2006
3,018
2,000
Kwani CUF sio chama cha upinzani? Lipumba asifurahie sana kuruhusu watu kuhamahama vyama kutoka upinzani kwenda upinzani mwingine. Wapinzani wafurahie kuvuna wanachama wapya kutoka CCM ambaye ndiye mpinzani wao mkuu. Vyama vya upinzani havisongi mbele kuleta mabadiliko ya ukweli kwa sababu zao za kinafiki. Unganikeni tutawaamini. Tunaendelea kuiona CCM ikibadilishana maira ya uongozi kati yao wenyewe kwa sababu wapinzani mnagoma kuwa kitu kimoja na kamwe msidhani tunafurahia hayo. Kudadadeki.
 
kill

JF-Expert Member
May 21, 2013
1,830
0
wanafiki cuf wamefunga ndoa na ccm ha ha tupeni habari vp tabora kamanda slaa anaendelea kusonga cuf mchaka mchaka umeishia wapiiiii?!??
 
Bacron F

Senior Member
Jan 25, 2013
163
0
Mleta mada ni mpuuzi tu hana nia njema na Taifa letu ushabiki wa kishamba kama huu hauleti maana ila hata elimu yake kiduchu inaweza changia hali kuwa vile
 
kigu

Senior Member
May 27, 2012
183
195
wanafiki cuf wamefunga ndoa na ccm ha ha tupeni habari vp tabora kamanda slaa anaendelea kusonga cuf mchaka mchaka umeishia wapiiiii?!??
mbona chadema na wao wameolewa Arusha na CCM , meya wa ccm na naibu meya ni wa chadema!! au ndo nyani haoni......

nyie leteni majungu ila sisi tunapiga kazi!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom