amakyasya JF-Expert Member Jun 26, 2013 3,480 907 Dec 20, 2013 #1 Subiri hapahapa ndo naenda kuzifuata eneo la tukio.
amakyasya JF-Expert Member Jun 26, 2013 3,480 907 Dec 20, 2013 Thread starter #4 aduwilly said: bangi kweli haramu Click to expand... Umeonywa siku zote ulikuwa husikii leo ndo umetambua kuwa bangi haramu baada ya kuivuta na kwenda kufanya mambo ya ajabu. Usirudie tena.
aduwilly said: bangi kweli haramu Click to expand... Umeonywa siku zote ulikuwa husikii leo ndo umetambua kuwa bangi haramu baada ya kuivuta na kwenda kufanya mambo ya ajabu. Usirudie tena.
amakyasya JF-Expert Member Jun 26, 2013 3,480 907 Dec 20, 2013 Thread starter #6 Gwangambo said: Nitarudi................. Click to expand... Usiondoke subiri kwanza hapohapo...
serio JF-Expert Member Apr 15, 2011 7,306 4,681 Dec 20, 2013 #7 Haya ndo madhara ya kuvutia bangi chooni..
S Sadness Senior Member Dec 20, 2013 124 33 Dec 20, 2013 #8 amakyasya said: Subiri hapahapa ndo naenda kuzifuata eneo la tukio. Click to expand... Mimi ninazo. Nikusaidie?
amakyasya said: Subiri hapahapa ndo naenda kuzifuata eneo la tukio. Click to expand... Mimi ninazo. Nikusaidie?
amakyasya JF-Expert Member Jun 26, 2013 3,480 907 Dec 20, 2013 Thread starter #9 serio said: Haya ndo madhara ya kuvutia bangi chooni.. Click to expand... Mkuu bangi ni haramu kabisa usivutie chooni wala sebuleni acha kabisa. Ni hatari kwa afya yako.
serio said: Haya ndo madhara ya kuvutia bangi chooni.. Click to expand... Mkuu bangi ni haramu kabisa usivutie chooni wala sebuleni acha kabisa. Ni hatari kwa afya yako.
amakyasya JF-Expert Member Jun 26, 2013 3,480 907 Dec 20, 2013 Thread starter #10 Sadness said: Mimi ninazo. Nikusaidie? Click to expand... Za kwako nimeshaziona hazionekani vizuri subiri nilete zangu.
Sadness said: Mimi ninazo. Nikusaidie? Click to expand... Za kwako nimeshaziona hazionekani vizuri subiri nilete zangu.
Angel Nylon JF-Expert Member Jul 26, 2011 8,288 16,448 Dec 21, 2013 #11 Harakisha mkuu, ndo tunasubiri ivoo
amakyasya JF-Expert Member Jun 26, 2013 3,480 907 Dec 21, 2013 Thread starter #12 Angel Nylon said: Harakisha mkuu, ndo tunasubiri ivoo Click to expand... Safi sana narudi saivi subiri kidogo tu hapohapo usiondoke nazileta mjionee wenyewe
Angel Nylon said: Harakisha mkuu, ndo tunasubiri ivoo Click to expand... Safi sana narudi saivi subiri kidogo tu hapohapo usiondoke nazileta mjionee wenyewe
SHIEKA JF-Expert Member Dec 20, 2011 8,244 4,258 Dec 21, 2013 #13 amakyasya said: Subiri hapahapa ndo naenda kuzifuata eneo la tukio. Click to expand... Kweli, umelitumia jukwaa hili vizuri!
amakyasya said: Subiri hapahapa ndo naenda kuzifuata eneo la tukio. Click to expand... Kweli, umelitumia jukwaa hili vizuri!
SHIEKA JF-Expert Member Dec 20, 2011 8,244 4,258 Dec 21, 2013 #14 serio said: Haya ndo madhara ya kuvutia bangi chooni.. Click to expand... Wewe serio, hujui hili ni jukwaa la jokes vituko na vimbwanga? Ya kuvutia bangi chooni yametoka wapi tena? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
serio said: Haya ndo madhara ya kuvutia bangi chooni.. Click to expand... Wewe serio, hujui hili ni jukwaa la jokes vituko na vimbwanga? Ya kuvutia bangi chooni yametoka wapi tena?
amakyasya JF-Expert Member Jun 26, 2013 3,480 907 Dec 21, 2013 Thread starter #15 SHIEKA said: Wewe serio, hujui hili ni jukwaa la jokes vituko na vimbwanga? Ya kuvutia bangi chooni yametoka wapi tena? Click to expand... Mkuu nashukuru kwa kumwelimisha huyo mtu laba hajui.
SHIEKA said: Wewe serio, hujui hili ni jukwaa la jokes vituko na vimbwanga? Ya kuvutia bangi chooni yametoka wapi tena? Click to expand... Mkuu nashukuru kwa kumwelimisha huyo mtu laba hajui.