Picha: viongozi wa CHADEMA waliojeruhiwa ulanga magharibi.

Lua

JF-Expert Member
May 19, 2011
704
305
Jana usiku katika kata ya minepa jimbo la ulanga magharibi vijana wa ccm (green guard) waliwavamia viongozi wa CHADEMA hususani mlinzi wa mgombea udiwani kwa nia ya kutaka kumu ua mgombea udiwani wa kata hiyo bw. Maiko, waliojeruhiwa ni m/kiti wa jimbo bw. Kibam Ally Mohammed aliyevaa shati ya draft, katibu wa jimbo bw. Lucas Lihambalimo aliyevaa shati jekundu na bw. Severin Matanila k/mwenezi tawi la Minepa aliyekaa na mwenye bandeji na ni mlinzi wa mgombea.
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    408.5 KB · Views: 928
chaguzi za udiwani hizi zinaambatana na fujo hivvi cjui mkuu itakuaje hapo 2015 cuz wengi twapenda mabadiliko
 
Kumbe udiwani ni dili zaidi ya ubunge

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
naskitika chadema tutakapo sema sasa yatosha.
pia natmai ccm na polisiccm hawafahamu kuwa nguvu ya umma haijawai kshindwa.
ccm wajue vijana wa chadema tko weng zaid ya mara tatu yao, ni ustaarab wa akina mbowe na slaa ktuzuia kulipiza kisas, kna siku kitaelewana
 
Yana mwishoa haya....poleni makamanda hali ya kukomboa nchi ni ngumu kweli kweli...
 
Isingekuwa Mbowe na Dr. Slaa, kukatwa mapanga kwa wabunge wa CHADEMA kule Mwanza, moto ungewaka. Hawa watu ni wapole mno. Natamani viongozi wa juu wangekuwa Lema na Lissu
 
kwa hari hii tayari 2015 ni kumwaga damu kwa kwenda mbele watanzania tujiandae...... Udiwani tu hivi,,.. Je ubunge na urais??..
Puuuu tanzania yangu, eti nchi ya amani, eti tunavyombo vya usalama.....k.mani.a zenu vyombo vyote vya usalama, mnafurahia watu wasio upande wenu wanapokufa na kujeruhiwa kwa uroho wenu wa kuwalinda mabwana zenu.. Lakini hata nyinyi mjue kamwe hamtoishi milele dunia hii.. Nyinyi mnatofauti gani na ghadafi au sadam hussein... S.h.e.n.z.i zenu mtakufa tu! P.u.m.b.a.v.u zenu
 
Isingekuwa Mbowe na Dr. Slaa, kukatwa mapanga kwa wabunge wa CHADEMA kule Mwanza, moto ungewaka. Hawa watu ni wapole mno. Natamani viongozi wa juu wangekuwa Lema na Lissu
Magogoni na wapangaji wake ingeshateketezwa siku nyingi
 
Hivi haya matokeo ya uvunjifu wa amani sehemu zote hizi kwenye chaguzi ndogo, ni kwamba imetokea coincidences ama haya yamepangwa. Nachelea kusema "yamkini siasa za Tanzania si shwari tena".
 
Hivi nguvu za kufanya fujo wanazitoa wapi? Na kwanini wagombea wasipewe ulinzi wa TZ-Polisi.
 
naskitika chadema tutakapo sema sasa yatosha.
pia natmai ccm na polisiccm hawafahamu kuwa nguvu ya umma haijawai kshindwa.
ccm wajue vijana wa chadema tko weng zaid ya mara tatu yao, ni ustaarab wa akina mbowe na slaa ktuzuia kulipiza kisas, kna siku kitaelewana
Kila sehemu kwenye hili suala la udiwani wanaCHADEMA wamejeruhiwa, hadi mheshimiwa Mbunge Nassari amepigwa, NOOOOO!!!,
Nafikiri sasa imetosha.
 
Godbles Lema gombea uenyekiti wa CDM huyu Mbowe upole umezidi. Ameshindwa kukabiliana na kasi ya Mwigulu Nchemba kuua wananchi wasio na hatia kwa sababu za kisiasa. Tunahitaji mtu kama Lema anayema nyeupe nyeupe, nyekundu nyekundu. Hata Obama amegoma kufanya dialogue na terrorists nashangaa Mbowe anafanya dialogue na maCCM magaidi kama Mwigulu
 
Kila sehemu kwenye hili suala la udiwani wanaCHADEMA wamejeruhiwa, hadi mheshimiwa Mbunge Nassari amepigwa, NOOOOO!!!,
Nafikiri sasa imetosha.

Naskitika OBAMA kuja kutemberea nchi ya kifedhuri kama hii,nchi imejaa madharimu,manyan'ganyi,majambazi na makafiri wa kisiasa,haiwezekani tukaenderea kuumizwa kila siku viongozi wetu wanasema tuwe na subira,uvumilivu umefka mwisho na sio kila subira huvuta heri zingine zinavuta shari.kuna watu wavivu wa kufikiri walilaumu na kuwabeza watanzania waliotamka kuwa kikwete ni dhaifu,sasa leo yakowapi?kashindwa kupandisha uchumi,kuboresha elimu na kuwalinda raia na mali zao kama katiba ya nchi inavyomwelekeza.matokeo yake anashiriki kwa namna moja ama nyingine kuuwa raia wasio na hatia huku akikaa ikuru akinywa na kula na majangiri wa nchi hii.
mi ni mwislamu ila kikwete na uislamu wake hafai mskitini wala kanisani ispokuwa ni rafiki ya falao laana tullah na maskana fi janna.
 
Poleni sana makamanda. MUNGU awajalie kupona haraka, your noble work is weight some tonnes of gold in weight folks.
 
Back
Top Bottom