PICHA: VIONGOZI MBALIMBALI WASHIRIKI MAZISHI YA BABA MZAZI WA TUNDU LISSU. [picha na habari is diff] | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PICHA: VIONGOZI MBALIMBALI WASHIRIKI MAZISHI YA BABA MZAZI WA TUNDU LISSU. [picha na habari is diff]

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nngu007, Sep 24, 2012.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Sep 24, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Published On: Mon, Sep 24th, 2012
  Picha / Siasa / Tanzania | By mafwiri


  [h=1][/h][​IMG]
  Wakili wa kujitegemea mkoani Arusha, akisoma taarifa ya wasifu wa baba yake mzee Augustino Lissu Mughwai (86) wakati wa misa ya mazishi wa mzee huyo ambaye pia ni mzazi wa mbunge wa jimbo la Singida Mashariki Tundu Lissu.Mzee Augustino alifariki dunia septemba 16 mwaka huu.
  [​IMG]
  Waziri wa nchi, sera, uratibu na bunge Mh. William Lukuvi akitoa salamu kwenye msiba wa baba yake na mbunge wa jimbo la Singida Mashariki, Tundu Lissu kijijini Mahambe.

  [​IMG]
  Mwenyekiti wa CHADEMA taifa Freeman Mbowe (wa kwanza kulia) akifuatilia misa ya mazishi ya baba mzazi wa mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu MzeeAugustino Lissu Mughwai aliyefariki dunia Septemba 16 mwaka huu.
  [​IMG]
  Waziri wa nchi,sera,taratibu na bunge William Lukuvi (wa tatu kutoka kushoto) akiwa kwenye msiba wa mzee Augustino Lissu Mughwai baba mzazi wa mbunge wa jimbo la Singida mashariki Tundu Lissu.Wa kwanza kushoto ni naibu waziri wa maliasili na utalii,Lazaro Nyalandu na wa pili kushoto ni mkuu wa mkoa wa Singida,Dk.Parseko Kone.Wa kwanza kulia ni mbunge wa Karatu CHADEMA,Israel Natse.
  [​IMG]
  Wakili wa kujitegema mkoani Arusha, Allute Mughwai (wa kwanza kulia) akifuatilia kwa makini misa ya mazishi ya baba yake mzee Augustino Lissu Mughwai. Wa nne kutoka kulia ni mbunge wa jimbo la Singida mashariki,Tundu Lissu.

  [​IMG]
  Mbunge wa jimbo la Kigoma kaskazini Kabwe Zitto (kulia) akizungumza na mkuu wa wilaya ya Ikungi Manju Msambya wakiwa kwenye mazishi ya baba wa mbunge wa jimbo la Singida mashariki,Tundu Lissu.(Picha zote na Nathaniel Limu).


   
 2. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #2
  Sep 24, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145

  Inaonekana Mh. Nchemba hakuhudhuria... Hata kilioni mtu anabeba GRUDGES ??
   
 3. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #3
  Sep 24, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Rip Mzee Lissu! Umetuachia makamanda ambao watatusaidia kuikomboa nchi yetu!
   
 4. Elba

  Elba JF-Expert Member

  #4
  Sep 24, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 383
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Pole sana TL, R.I.P mzee wetu Augustino Lissu Mughwai
   
 5. t

  tusichoke JF-Expert Member

  #5
  Sep 24, 2012
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 1,286
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  dah,sijamuona mbaguzi wa kuhudhuria misiba au anangojea misiba ya nje siku hizi? R.i.p marehemu
   
 6. Donyongijape

  Donyongijape JF-Expert Member

  #6
  Sep 24, 2012
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 1,451
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Hawa akina Lissu Mughwai wameenda shule sana..familia ya 'Kishua' kweli kweli. R.I.P Mzee Lissu
   
 7. MBWA HARUKI

  MBWA HARUKI Senior Member

  #7
  Sep 24, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 143
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  dah kweli LISSU kipenzi cha wengi, naona wana ccm Wamehudhuria kwa wingi, namwona ZITTO, LUKUVI ETC
   
 8. SR senior

  SR senior JF-Expert Member

  #8
  Sep 24, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 342
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Lukuv kahudhuria knafk, kwa kuwa hana 2 ujanja coz ye c mratibu bunge..tofauti na hapo 2najua kua hampendi TL coz anakisumbua chama chake bungeni..R.IP mzee
   
 9. Du Bois ideas

  Du Bois ideas JF-Expert Member

  #9
  Sep 24, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 428
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I liked the way they are
   
 10. Chenge

  Chenge JF-Expert Member

  #10
  Sep 25, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 1,077
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  hapo ilikuwa Singida au ni Dar?
   
 11. Nambe

  Nambe JF-Expert Member

  #11
  Sep 25, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 1,455
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  yap, mzee alihakikisha wanae wanapata elimu bana, ametimiza wajibu wake dunian, karibu wanae wote ni wasomi, wanasheria ninaowafahamu wako watatu kwenye hiyo familia akiwemo huyo anayesoma wasifu wa marehemu, tundu na mdogo wao mwengine anaitwa vinc........kiufup wako vizur.....

  RIP baba..........
   
 12. Nambe

  Nambe JF-Expert Member

  #12
  Sep 25, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 1,455
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  hapo ilikuwa singida....
   
 13. M

  Mchaga HD Member

  #13
  Sep 25, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 80
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  yah!kweli umetaja vzrrr sana.
   
 14. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #14
  Sep 25, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Nimemwona Isango kakangu isee!!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #15
  Sep 25, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  shiiiiiiiii...tuko kwenye msiba acha kuchonga kijana...
   
 16. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #16
  Sep 25, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Anavomtukanaga tundu bungeni asingeweza kuja besides yeye anachanganya politics na human life
   
 17. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #17
  Sep 25, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  Bwana alitoa na Bwana ametwaa! rip mkwe. . . . .
   
 18. kibaa

  kibaa JF-Expert Member

  #18
  Sep 25, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 708
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  pamoja na kwamba sipendi sera za lukuvi bungeni ila nimependa ushiriki wake katika huu msiba ameonyesha utu ameweka siasa kando msiba kwanza.
   
 19. mhalisi

  mhalisi JF-Expert Member

  #19
  Sep 25, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,181
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  r.i.p mzee Lissu.
   
Loading...