Picha, vijana legelege, pitieni kwa maafande wawaimarishe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha, vijana legelege, pitieni kwa maafande wawaimarishe

Discussion in 'Jamii Photos' started by Candid Scope, May 4, 2012.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  May 4, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 2. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #2
  May 4, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Du hapo sio tora bora?
   
 3. sosoliso

  sosoliso JF-Expert Member

  #3
  May 4, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 7,519
  Likes Received: 1,857
  Trophy Points: 280
  Duuuh.. Ni adhabu au mazoezi..? Wakiyaleta polisi haya.. Halafu waanzie maboci juu mpaka wa kawaida.. Maana naona askari wetu wenye vyeo ni mabingwa wa kufuga vitambi.. Wamekuwa wazembe sana..
   
 4. lutamyo

  lutamyo JF-Expert Member

  #4
  May 4, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 633
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Vijana wote wangepelekwa JKT hakika tusingekuwa na watu waoga katika kudai haki za watanzania katika Taifa hili ambalo limefanywa shamba la bibi, huku hatua hazichukuliwi. Nashindwa kuelewa Vingozi wetu wanuzalendo gani?

  Hasa Alhaji A.H. Mwinyi maana hawa ndiyo walioua JKT. Sijui labda ilikuwa ni hofu yao kwamba tunakoelekea watanzania hawataendelea kukubali kuzidi kuibiwa huku wakiwa macho. Hii kamanda ingependeza saana yaani kuliko sasa vijana kutwa kucha wako FB
   
 5. lutamyo

  lutamyo JF-Expert Member

  #5
  May 4, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 633
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Jaribu uuone moto wake?? wako fiti sana kaka hilo nundu likundanganye
   
 6. Ileje

  Ileje JF-Expert Member

  #6
  May 4, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 3,872
  Likes Received: 1,658
  Trophy Points: 280
  Tuombe Mungu nchi hii isije ikaingia vitani! Tangu mafunzo ya JKT yasitishwe kutolewa kwa lazima kwa vijana waliomaliza JKT na waajiriwa serikalini, vijana wengi ni mdebwedo ingawa ni wapepetaji wazuri wa mdomo!
   
 7. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #7
  May 4, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Hiyo ni adhabu
   
 8. W

  WILSON MWIJAGE JF-Expert Member

  #8
  May 4, 2012
  Joined: May 30, 2011
  Messages: 276
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ndugu,

  Kazi ipo, hii ni zaidi ya kupasua tofali la mchanga kwa mkono!
   
 9. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #9
  May 4, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  hii nayo ni siasa?
   
 10. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #10
  May 4, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,147
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  kama ni hivi basi huko jeshini wanafundisha kuvumilia adhabu!
   
 11. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #11
  May 4, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Licha ya kuwa adhabu lakini zinamkomaza kijana kuwa mkakamavu
   
 12. L

  LAT JF-Expert Member

  #12
  May 4, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  abbottabad hapo
   
 13. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #13
  May 4, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160

  Vijana wanaopitia Tabora School ni wakakamavu, huko licha ya sare ya kawaida shuleni, kula wakati vitabu vinawekwa chini, kisha wanavaa makombati na kutokomea porini mafunzo kwa vitendo.
   
 14. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #14
  May 4, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Haya ndo madhara ya siasa?
   
 15. Z

  Ziege liebe Member

  #15
  May 4, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mtu atakua vp strong wakati mlo wake ni chps kuku aliye kuzwa kwa 1wik thru chemicals?....80% ya time yake ni fb browsing?....eti ndo 2meadvance, duuh....kaz ipo
   
 16. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #16
  May 4, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Vijana wasomi hawajaandaliwa kujitegemea kimaisha sababu ya kutofunza namna ya kujitemea na hivo wako radhi kutumiwa na wahindi ili kupata riziki.

  Jeshi la kujenga taifa lilikuwa linamwandaa kijana kujiamini, kujitegemea, kujiamini na kumgengea ukakamavu wenye kumsaidia katika masha, leo utaona vijana walivyo legelege sijui hata nini kinawafaa kufanya, maana hata viwanda vikifunguliwa nchini wanahitaji wachapakazi wakakamavu na wenye kujituma, si tepetepe kama walivyo wengi.
   
 17. Small Boy

  Small Boy Senior Member

  #17
  May 4, 2012
  Joined: Jul 12, 2007
  Messages: 142
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  huku kwetu wanajeshi, askari wan vitambi; kwa mazoezi haya kitambi utapata wapi?
   
 18. GEMBESON

  GEMBESON JF-Expert Member

  #18
  May 4, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 256
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Nadhani majaji wetu wangeichukua hii iwe ndio adhabu ya wezi wa kuku. Badala ya kuwafunga iwape huu ukakamavu kwa siku nzima, kisha wawe huru.
   
 19. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #19
  May 4, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Kwata hilo ni kwa makuruta, kwani wenye kuanzia na vumilia vumbi mbili ni saluti tu, sembuse wenye nyota?
   
 20. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #20
  May 4, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Kumbuka askari akishakabidhiwa kale kafimbo ni silaha kujilida asiguswe ili kulinda Capital D kutanuka zaidi hadi hawezi kuona tena hata nyayo za miguu yake.
   
Loading...