si ndio mambo yako hayo wewe!!!!???
ladyfurahia, si Maximo alikuwa hamtaki Kaseja kwa kuwa ni mfupi, si angemchukua huyu bwana harusi ili Taifa Stars isiwe inafungwa?haya ni maajabu ya dunia tena ya kushangaza sasa mm kwake si naingia mara 70 kwa urefu ati Bujibuji?
...loh..asa itakuwaje,kwani sehemu muhimu ni fupi...?
ladyfurahia, si Maximo alikuwa hamtaki Kaseja kwa kuwa ni mfupi, si angemchukua huyu bwana harusi ili Taifa Stars isiwe inafungwa?
haya ni maajabu ya dunia tena ya kushangaza sasa mm kwake si naingia mara 70 kwa urefu ati Bujibuji?