PICHA: Uzinduzi wa tawi la CHADEMA Basihaya Boko Dar es salaam na mh halima mdee

Mambo yalikuwa hivi

attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php

Yule dada anayepiga picha pale juu kulia kafanana kweli na Regia Mtema(rip) ndiyo yule pacha wake au?
 
Ni mbunge wangu lakini muda wake umeisha tulimpa ubunge lakini jimboni hatumuoni, wakazi wa Msasani Madanzi road hawajawahi kumuona, wavuvi wa Kunduchi walimpa kura mpaka leo hawajamuona...
Kule kwa wpemba akafanye nini?wao si wapo busy kujadili muungano?Watapati wapi muda wa kushirikian ana mBunge wao?
 
i also like the way she is being series with her job
big up mheshimiwa mbunge for your nice work
 
Kazi mnayo kumbe mdee hajafanya lolote, kipi warioba anapiga jalamba!
 
Back
Top Bottom