PICHA: Uzinduzi wa tawi la CHADEMA Basihaya Boko Dar es salaam na mh halima mdee | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PICHA: Uzinduzi wa tawi la CHADEMA Basihaya Boko Dar es salaam na mh halima mdee

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Micro E coli, Sep 29, 2012.

 1. Micro E coli

  Micro E coli JF-Expert Member

  #1
  Sep 29, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 943
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mambo yalikuwa hivi

  [​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG]
   

  Attached Files:

 2. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #2
  Sep 29, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,652
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 3. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #3
  Sep 29, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Halima Mdee ni iron lady. Magamba watamkoma!
   
 4. Kikarara78

  Kikarara78 JF-Expert Member

  #4
  Sep 29, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,161
  Likes Received: 514
  Trophy Points: 280
  Mambo yalikuwa Hivi na Wana JF,
  Hongera Mbunge wangu Mh. Mdee, Kazi yako inaonekana
  Nawakilisha   
 5. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #5
  Sep 30, 2012
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Good job
   
 6. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #6
  Sep 30, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Wakati watu wanadhulumiwa huko alikuwa wapi?
   
 7. Mr Dhaifu

  Mr Dhaifu JF-Expert Member

  #7
  Sep 30, 2012
  Joined: Jul 14, 2012
  Messages: 775
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Mkuu Halima kaamua watu walisema hafanyi mikutano jana kabla ya kufungua hilo tawi alikuwa anazungumza na wananchi wa waliovunjiwa nyumba zao.
   
 8. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #8
  Sep 30, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  viva CHADEMA viva MDEE
   
 9. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #9
  Sep 30, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Halima wewe ni mwanamke wa shoka.piga kazi dada,fitna zao hazina nafasi kwako.
  Sisi wana kawe mapenzi yetu kwako yako static!
   
 10. Micro E coli

  Micro E coli JF-Expert Member

  #10
  Sep 30, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 943
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  wananchi wa chasimba Boko wakizungumza na mmbunge wao mh Halima Mdee
   

  Attached Files:

 11. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #11
  Sep 30, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  maji ni mengi mezani kuliko idadi ya wananchi. kunaweza kuwa na tatizo
   
 12. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #12
  Sep 30, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Ni mbunge wangu lakini muda wake umeisha tulimpa ubunge lakini jimboni hatumuoni, wakazi wa Msasani Madanzi road hawajawahi kumuona, wavuvi wa Kunduchi walimpa kura mpaka leo hawajamuona...
   
 13. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #13
  Sep 30, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Cuf kivuli
   
 14. Kirode

  Kirode JF-Expert Member

  #14
  Sep 30, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 3,573
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Alikuwa wazo kituo cha polisi anashughulikia dhamana ya wafanyakazi wa kampuni ya mafuta walionyimwa dhamana..............idiot
   
 15. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #15
  Sep 30, 2012
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,651
  Likes Received: 21,865
  Trophy Points: 280
  Wewe huwezi kuwa mmoja wao hata kidogo(red)
   
 16. D

  Diga Diga Senior Member

  #16
  Sep 30, 2012
  Joined: Sep 3, 2012
  Messages: 187
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawa walidhulumiwa na nani, Magamba na vibaraka wao au?
   
 17. Mingoi

  Mingoi JF-Expert Member

  #17
  Sep 30, 2012
  Joined: Jul 21, 2012
  Messages: 10,634
  Likes Received: 2,344
  Trophy Points: 280
  Naona CDM mmeishiwa thread za kupost,hii si habari ya kuleta JF ufunguzi wa matawi ?Halima Mdee anachemka tulitegemea kama mwanasiasa kijana kuleta maendeleo kitu ambacho ameshindwa kwa 100%.Ajue kwamba ndoa yake na wana Kawe itaisha rasmi 2015.
   
 18. Micro E coli

  Micro E coli JF-Expert Member

  #18
  Sep 30, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 943
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  mkuu hujui unaloliongea Halima hapa BOKO ndani ya wiki moja kaja mara mbili kuzungumza na wananchi na maji yana panda Chasimba mtalia sana anawafanya mbaya magamba nyie.
   
 19. kazikubwa

  kazikubwa JF-Expert Member

  #19
  Sep 30, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mbona nusu ya hao wageni ni wakazi wa Kimara? Labda wameenda kutoa tafu
   
 20. K

  Kibagata JF-Expert Member

  #20
  Sep 30, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 773
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  Wapi huko masaburini?
   
Loading...