Picha: Usahili post ya Mkaguzi msaidizi wa Uhamiaji - Uwanja wa Taifa

Nendeni, kuna mtu kawazuia? Kama umeamua kujiaminisha huo uzushi! that means wewe sio mzalendo!
 
Kuna jina moja hapo la jamaa wa uhamiaji........

Kweli kama huna mtu utaishia kupigika kwa wahindi.... mliokosa karibuni tulime vitunguu
 
Nendeni, kuna mtu kawazuia? Kama umeamua kujiaminisha huo uzushi! that means wewe sio mzalendo!

wewe mwehu tulieni. hii ndiyo CCM--ndiyo maana wanakataa TUNU ZA TAIFA ili waendelee kuitafuna nchi. tanzania itajengwa na walalahoi na kutafunwa na wenye meno (magamba).
 
Hi ni shida wasio na mtu sehemu inakula kwao kwanini kama walijua wana watu wao kwanini walisumbua watu toka mikoa halafu wakaacha watu wajae uwanjani kama wanaangalia brazuka tunakoelekea
 
Nendeni, kuna mtu kawazuia? Kama umeamua kujiaminisha huo uzushi! that means wewe sio mzalendo!

yaani wewe hapana leo nakujibi
acha hizo uzalendo kuwekana ndugu kwa ndugu?!!
umekua dogma kiasi hicho kweli?!!!
sometimes uwe humanity at least uache porojo
do you think wanasingiziwa hao
uzalendo kwetu,kwenu je?!!
 
yaani wewe hapana leo nakujibi
acha hizo uzalendo kuwekana ndugu kwa ndugu?!!
umekua dogma kiasi hicho kweli?!!!
sometimes uwe humanity at least uache porojo
do you think wanasingiziwa hao
uzalendo kwetu,kwenu je?!!

Bora tu umemwambia ukweli it means mnyonge hana haki nchi wenyewe ndo wana hati miliki sasa huo uzalendo gani
 
Bora tu umemwambia ukweli it means mnyonge hana haki nchi wenyewe ndo wana hati miliki sasa huo uzalendo gani

yaani huyu mi hata simuelewagi
hana huruma huyu ujue mbinafsi sana
mda wote anawaza siasa tu hata kwenye mambo ya msingi..
he
hv kwa style hii tutaendelea kweli..??
tutafika kweli..!???
ina maana wao ndo wana vigezo tu..?!!
 
to me hayo yote ni majina ya makadava tu stupid! mambo gani kuitana uwanja wa taifa huku watu washapewa ajira.., stupid kabisa!
 
Hapa naangali vita ya Uganda na Tanzania kupitia TBC. Naona watoto wa wakulima na wafanyakazi wakisombwa kuelekea vitani kuilinda nchi. Wengi walikufa mpaka kufika hapa tulipo. Sasa inaniuma sana kuona watoto na wajukuu wao wanatengwa katika ajira. Wanaweka watoto wao na ndugu zao. Je huu ni ungwana?
 
Hi ni shida wasio na mtu sehemu inakula kwao kwanini kama walijua wana watu wao kwanini walisumbua watu toka mikoa halafu wakaacha watu wajae uwanjani kama wanaangalia brazuka tunakoelekea
Mkuu ile interview zile ni formalities tu..lakini mara nyingi wanakuwaga na watu wao tayari washawaandaa nyine mnaitwa interview kama wasindikizaji tu..its sad kwa kweli!
 
Mkuu ile interview zile ni formalities tu..lakini mara nyingi wanakuwaga na watu wao tayari washawaandaa nyine mnaitwa interview kama wasindikizaji tu..its sad kwa kweli!

Ni shida ndo mana kukitokea kitu wanalindana hiyo sio fair bora wangekuwa wanachukua watu kwa vigezo sasa it means wasio na ndugu watakuwa hawapati ajjra inabidi hatua zichukuliwe mana proffesional wanabaki
 
Ni shida ndo mana kukitokea kitu wanalindana hiyo sio fair bora wangekuwa wanachukua watu kwa vigezo sasa it means wasio na ndugu watakuwa hawapati ajjra inabidi hatua zichukuliwe mana proffesional wanabaki

Nchi hii vigezo wala havifatiliwi..huwa nasikitika sana nikiona watu waliokuwa wanafanya vizuri chuo kikuu na very inteligent wakiishia kufanya kazi za ajabu ajabu kisa tu hawamjui mtu kitengo fulani na vigezo vyote wanavyo.. na wale mabongo lala wanashikilia nafasi nyeti wakati kichwani hamna kitu.. nchi hii kupiga hatua itachukua miaka zaidi ya 10000.
 
Hii nimetumiwa sijui kama ni kweli?Matokeo ya Usaili wa nafasi za Konstebo wa Uhamiaji yaliyotolewa katika magazeti ya tarehe 23 Julai, 2014 yameonesha kuwa katika Idara hiyo watanzania wengine mbali ya watoto au ndugu wa wafanyakazi wa Idara hiyo hawawezi kupata ajiya ndani ya Idara hiyo ya Serikali. Majina ya wengi walioitwa kazini ni watoto au ndugu wa wafanyakazi wa idara hiyo.
  1. Abdulhaq Amin Mandemla – Mtoto wa afisa Uhamiaji Amin Mandemla
  2. Alphonce Kishe – Mtoto wa Afisa Uhamiaji Aleluya Kishe
  3. Asha Burhani Idd – Ndugu ya Afisa Uhamiaji Tatu Burhani Idd
  4. Beatrice Temba – Ndugu wa Afisa Uhamiaji Joseph Kasike
  5. Geofrey Justine Mhagama – Ndugu ya Afisa Uhamiaji Rose Mhagama
  6. Iginga Daniel Mgendi – Mtoto wa Afisa Uhamiaji Daniel Mgendi
  7. Issack Michael Makwinya – mtoto wa aliyekuwa Afisa Uhamiaji Makwinya
  8. John Alfred Mungulu – mtoto wa Afisa Uhamiaji Alfred Mungulu
  9. Joseph A. Milambo - mtoto wa Karani wa Uhamiaji Milambo
  10. Michael J. Choma – mtoto wa Afisa Uhamiaji John Choma
  11. Shimba H Zakayo – mtoto wa Afisa Uhamiaji Zakayo Mchele
  12. Upendo E. Mgonja - mtoto wa Afisa Uhamiaji Mgonja
  13. Vaileth A. Kidesu – mtoto wa Afisa Uhamiaji Adam Kidesu
  14. Elizabeth Edward – Ndugu wa Afisa Uhamiaji Edward Martin
  15. Ester Mahirane – Ndugu wa Afisa Uhamiaji Mahirane
  16. Basil Lucian John – Ndugu wa Afisa Uhamiaji Dismas Lucian
  17. Frank E Kajura- Ndugu wa Afisa Uhamiaji Kajura
  18. Jacob P. Ulungi – Ndugu wa Afisa Uhamiaji Magnus Ulungi
  19. Janeth John Milinga – Ndugu wa aliyekuwa Afisa Uhamiaji Milinga
  20. Janeth R Lukuwi – Ndugu wa Afisa Uhamiaji Eliza Lukuwi
  21. Joseph N. Yondani – Mtoto wa Afisa Uhamiaji Mary Yondani
  22. Leila khatib Irovya - Mtoto wa Afisa Uhamiaji Abbas Irovya
  23. Lucian F. Mlula – ndugu wa Afisa Uhamiaji Dismas Mlula
  24. Neema Kasian Lukosi- Ndugu wa Afisa Uhamiaji Zubeda Abbas
  25. Pendo D. Gambadu – ndugu wa Afisa Uhamiaji Gambadu
  26. Paschalia E. Mwenda – ndugu wa Martin Edward mwenda
  27. Theresia Ernest Kalunde – Mtoto wa Ernest Kalunde
  28. Veronica G Vitalis – Mtoto wa aliyekuwa Afisa Uhamiaji Vitalis Mlay
  29. Victor G. Mlay- Mtoto wa aliyekuwa Afisa Uhamiaji Vitalis Mlay
  30. Catherine J. Mapunda- mtoto wa Afisa Lucy Mapunda
Hii ni sampuli tu yaani nimeorodhesha moja ya tatu tu kwani zaidi ya asilimia tisini ni watoto na ndugu wa Maafisa Uhamiaji.Nadhani ingekuwa vyema wasingekuwa wanatangaza nafasi hizi bali wawe wanagawiana ndani kwa ndani.Alamsiki.
Ndugu yangu hali ni mbaya sana kwa watu ambao hawana watu wakuwashika mkono, hata mimi nimeshuhudia konstebo mmoja amepata kwa kupigiwa deal na ndugu yake ambaye ni kigogo pale uhamiaji. Hakuna kukata tamaa maana ipo siku Mungu atatunyooshea mkono wake.
 
Hali halisi ilikua hivi wajameni

Nimehudhuria interview na kufanya ila hii ya uhamiaji kwa mie imevunja record.

attachment.php


attachment.php

attachment.php
 
Back
Top Bottom