Picha: Umaskini wa fikra, Billion 13 ukumbi mzuri ofisi za hovyo

CHADEMA na baadhi ya wanawake wa Pwani hawana tofauti. Baadhi ya wanawake wa Pwani ukikutana nao nje utashangaa kwvaa dhahabu na nguo za thamani kubwa kapendeza ajabu. Nenda kaangalie kwake anakolala anakotokea utashangaa nyumba Ni ya makuti.Ndio chadema walivyo warembo ajabu wanameremeta mlimani city nenda makao makuu yao utatapika palivyo hovyo

Kampeni ya National Housing ya maisha Ni nyumba CHADEMA naona hawaelewi.Ni Mwambe tu ndiye anaelewa ambaye katamka wazi kuwa akishika lazima makao making yenye hadhi yajengwe.
 
2244444_tapatalk_1567662891357.jpeg.jpg
4-1.jpg
poor-environment-poor-performance_web.jpg
ce3276f9c80a5f26af83c09590b48b04.gif
tanzania.jpg
 
Chadema na baadhi ya wanawake wa Pwani hawana tofauti.Baadhi ya wanawake wa Pwani ukikutana nao nje utashangaa kwvaa dhahabu na nguo za thamani kubwa kapendeza ajabu.Nenda kaangalie kwake anakolala anakotokea utashangaa nyumba Ni ya makuti.Ndio chadema walivyo warembo ajabu wanameremeta mlimani city nenda makao makuu yao utatapika palivyo hovyo

Kampeni ya National Housing ya maisha Ni nyumba chadema naona haeaewi.Ni Mwambe tu ndiye anaelewa ambaye katamka wazi kuwa akishika lazima makao making yenye hadhi yajengwe
Naona Roho zinawamua mmeshindwa kumuweka pandikizi wenu CHADEMA
Ndomana mnalialia tu

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
USSR,
USSR, Mtuachie hiki ni chama chetu, CCM inayokusanya hela za nchi nzima yenyewe ofisi zake zote unazijua ?, hapa nilipo mimi chama cha mapinduzi hakina ofisi, walikuwa wamepanga kwenye nyumba ya mama mmoja akawafukuza kwa sababu walikuwa hawalipi kodi, na aliwatimua akafungia vifaa vyao ndani ya ofisi kwa sababu anawadai, sasa wewe macho yako kwa chadema tu, ulitaka mkutano mkubwa kama huo wafanyie wapi ?.hizo ndio kumbi za mikutano zilizopo
 
USSR, Wewe utakuwa na ujinga wa pekee. Kaangalie ikulu ilivyo halafu kalinganishe na shule zile za baadhi ya vijiji ambavyo watoto wanakaa chini au wananchi wanachota maji yanayofanana na rangi ya maziwa.

Kwa akili yako ndogo nadhani utasema ili Rais aonekane ana akili sana alistahili alale Tandale, tena chini pasipo na kitanda, atembelee bajaji na ale mchunga kila siku, ili fedha zinazohudumia ikulu zikanunue madawati na kuchimba visima.

Tuna watu ni wajinga hasa, tena waliopitiliza na kuugusa uwendawazimu. Kwa huu uwendawazimu wa USSR, ili daktari aonekane kuwa ana huruma na mgonjwa, na anatakiwa kumhudumia apone, na lazima na daktari mwenyewe awe mgonjwa!

Huyu anayesema hela ya ukumbi ni ufujaji wa fedha, anaelewa hata huo ukumbi unalipiwa sh ngapi kwa siku? Anajua gharama za ujenzi? Na anajua chama cha siasa, priorities zake zinatakiwa kuwa zipi?

Kwa ujinga huu, nadhani juna watu wanaamini kuwa Tanzania tupo juu sana kimaendeleo kwa sababu jengo letu la Bunge Dodoma ni kubwa kuliko lile la Bunge la Uingereza. Mwendawazimu siku zote hutumia pesa yake zaidi kwenye mambo ambayo ni low priority na kuyaacha yaliyo muhimu zaidi.

Absa walipokuja hapa waliyakataa majengo ya NBC, wakaamua kubakia kwenye core business ambayo ni financial services. Unadhani ni kwa nini? Wajinga kama hawa wanaoamini katika majengo badala ya core business ya any political party, tuwapuuze, ni watu wa kuonewa huruma kwa uwendawazimu wao. Let

CHADEMA ignore these low minds like USSR and the likes, embrace to your core business as a political party.
 
Back
Top Bottom