Picha: Umaskini wa fikra, Billion 13 ukumbi mzuri ofisi za hovyo

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
2,990
2,000
Mbowe na CHADEMA ni maskini wa fikra na umaskini wa fikra ni mbaya sana kuliko wa kipato

Bora umaskini wa kipato kuliko umaskini wa fikra .

Ukiangalia ukumbi uliokodishwa na CHADEMA kufanyia mkutano na ofisi wanazo tumia viongozi hao utajua bora maskini wa kipato kuliko wa fikra. Unatumia mamilioni kukodisha ukumbi ilihali watendaji wako wananyeshewa mvua kwenye mapagale huko mikoani unajuliza nani maskini hapa Tanzania

Unatumia mamilioni kuvaa wakati unalala chini ,nyumba imejaa nyufa saa yoyote kuta zinaanguka. Mngetumia pesa hizi kuboresha ofisi hizo badala ya kula bata

Mmewazui wenzenu wasigombee lakini nyie mtagombe ,wenzenu hizo miambilimiambili ziliwaweka mjini


BORA UMASKINI WA KIPATO KULIKO WA FIKRA

USSR


IMG-20191218-WA0012.jpeg
IMG-20191218-WA0011.jpeg
IMG-20191218-WA0014.jpeg
IMG-20191218-WA0013.jpeg
IMG-20191218-WA0000.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Top Bottom