View attachment 16765
Picha ya JK ukutani imetoka safi sana.
Heshma kwa Kiongozi wa nchi ni lazima kwa wote!
napata picha hapo taska ilishakolea ndo mtu husikia vinyume-nyume:smile-big:Kuna Mzungu mmoja alifika pale Movenpick akauliza staff wa pale,"Huyu ni meneja wa hotel yenu?"
Wao wanajua, lakini wale hawajui, ndio maana wao hawazozani juu ya lile, lakini wale wanataka kutoana shingo juu ya hilo, sishangai napowaona wao wakitaniana na kuzungumza, kama nisivyoshangaa kuwaona wale wakinuna na kutoleana maneno yasiyopendeza. Tatizo ni kwamba wanatazama lakini hawaoni. Wanasikiliza lakini hawaelewi..... bado lakini ni utoto wakikua wataacha.:smile-big: